Uaminifu katika ndoa

jogijo

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
260
490
Habari wana JF
niende kwenye mada tajwa
ukweli mwanaume tunajifariji tu kuwa ni haki yetu kuchepuka, lakini unakumbuka kiapo cha siku ile unaahidi kumpenda mtu hadi kifo kiwatenganishe na wengine wote utawaepuka? Kwanini unawaza michepuko isiyojua umetoka wapi?

Tujifunze, ukimcheat mke wako atajisikia vibaya zaidi kuliko ww unavojisikia ukifuma... lkn pia ukicheat unailetea laana familia yako na watoto, yes huwez ona hii maana unajifariji una pesa za kuwapa hao wadada, ushawahi kufikiria kuhusu kizazi chako, unaweza kua safe ww na kuona umewin lkn ukweli Mungu sio dhalimu, usipoitubia hio dhambi inaweza tafuna kizazi chako kuanzia cha kwanza hadi cha nne.

Better choice to you all
jogijo....
 

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
tatizo linaanzia kweye akili ya mwanaume? kama hauna akili usioe vinginevyo, siku ya kwanza tu ya ndoa utakua na sababu 1000 za kumwacha mkeo/kuchepuka.. ukishafunga ndoa sasa omba Mungu akupe maelewano na mkeo, mengine ni shwetain huyaleta ili upate sababu ya kumpenda lkn Mungu hapendi kuachana na shetani huchonganisha wanandoa....
 
Back
Top Bottom