Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Tunalala tunaamka tunapambana na utafutaji,Jumatatu hadi Jumapili;siku zinaenda,mwisho wake ni nini?
Mkuu nisaidie maoni yako!
Ha ha ha ha ndio maana mimi sijalala, natafuta bado jibu.
Najitahidi sana kuyasoma pamoja na kuyaishi.Mwisho wake Ni kula,,, tunafanya kazi ili tuishi,tunaishi ili tumuabudu Mungu na tufanye kazi,, Mungu mwenyewe alituamuru tule kwa jasho..rejea katika maandiko kitabu Cha mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari hii,sasa mbona tunakuwa sio waungwana?the ultimate of human life is death
thanks to god the almighty
Hii yote ni kuogopa kifoHii ideology ni nzuri sana. Inapunguza machungu ya kifo.
Blessed are those who die in Jesus christ name
Siyakukothamela Sonini na nini
Ha ha ha ha wewe utaenda kuzaliwa nchi gani?
Sasa kwa nini tunaishi kwa chuki,wakati mwisho wetu unajulikana?
Sasa kwa nini tunaishi kwa chuki,wakati mwisho wetu unajulikana?
Mi apa apa TZ, hakuna nchi naweza jiachia kama Tz, uko kwingine life ni stressHa ha ha ha wewe utaenda kuzaliwa nchi gani?
Ha ha ha ha ukizaliwa tena muonekano wako utakuwaje?Mi apa apa TZ, hakuna nchi naweza jiachia kama Tz, uko kwingine life ni stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ukizaliwa tena muonekano wako utakuwaje?
Weka picha tuuone