Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,111
- 64,111
Nimekutana na hii picha ya hawa wapenzi;picha ya juu walipiga mwaka 1968 na hiyo ya chini ni mwaka 2018;Je, nasi tutafika huko?
ha ha ha ha ha,tamaa mbaya sana zinatutoa kwenye mstariUkiacha tamaa utafika tu!
Ni kweli mkuu,inabidi Mungu atende miujizaKufika huko ni kwa kudra za Mungu pekee.
Kibongo bongo mapenzi yamekuwa ya janja janja sana.
Kuzeeka na mwenzio limekuwa ni tatizo la Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchuro...chaa!!!Hamna huwez fika
Umri wa kuishi kwa mwanaume wa bongo ni mfupi kuliko Mwanamke wa kibongo.
Kwaiyo, picha ya kwanza unaweza kuwepo.....ila iyo ya chini, fanya kuiedit ujitoepo, ubakishe mama mjane akijiendea sokoni na kapikipiki.kake[emoji23]
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Kwa nini iwe hivyo?Hamna huwez fika
Umri wa kuishi kwa mwanaume wa bongo ni mfupi kuliko Mwanamke wa kibongo.
Kwaiyo, picha ya kwanza unaweza kuwepo.....ila iyo ya chini, fanya kuiedit ujitoepo, ubakishe mama mjane akijiendea sokoni na kapikipiki.kake[emoji23]
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Inawezekana hawatumiki sana,ndio maana wamefika huko!Halafu bado wazuriiiiiiii,.
Mimi na my cometh soulmate tutafika tuu,.in Jesus name!!!!
Hahaha...kutumikaje?Inawezekana hawatumiki sana,ndio maana wamefika huko!
Ha ha ha ha unajua flash ukiichomeka kwa kila computer inaweza kupata madharaHahaha...kutumikaje?
Uko poa davv?!Tuseme Inshallah
Kwahiyo taifa gani wanaongoza kwa kutumika sana?😎Ha ha ha ha unajua flash ukiichomeka kwa kila computer inaweza kupata madhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamooo sweetAcha uchuro...chaa!!!
Yapo mengi tu ....Kwahiyo taifa gani wanaongoza kwa kutumika sana?😎
Akuuu,.ntazeeka mapema bure kabla ya kufikia kama hao...😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamooo sweet
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Poa Sana nashukuru Mungu, vp wewe upo salama?Uko poa davv?!
For instance...?Yapo mengi tu ....