Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,838
Kwanini ujasiri/ushujaa ni muhimu kuliko IQ unapotaka kufanikiwa.
Leo katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu. Karibu tujifunze wote. Umehudhuria hafla ya marafiki wa muda mrefu uliosoma nao. katika maongezi ya hapa na pale unagundua wanafunzi waliokuwa na uwezo darasani na ambao kila mtu/mwalimu alijua lazima watavumbua mambo mapya katika ulimwengu hawajafanikiwa kwa kiasi ambacho kila mtu alikuwa anawatazamia.
Kiuhalisia ni dhahiri Akili/intelligence inaweza kuwa sio kiashiria cha mafanikio. Angalia hapa Mwanasaikolojia Duckworth alishawahi kusema kinachosababisha mafanikio sio kipaji cha mtu... but it's a special blend of persistence and passion that she calls grit/ujasiri.(kiswahili misamiati ni migumu).
Duckworth alitumia muda wake kujifunza kinachosababisha mtu afanikiwe. Alipopata majibu alishangaa. Sio IQ score wala sio GPA wala sio shahada ya chuo kikubwa duniani kinachosababisha mtu kufanikiwa. La hasha, ila ni muunganiko wa ujasiri,uthubutu na hamu/passion ndio vilivyopo kwenye mioyo ya waliofanikiwa. Achievers they have GRIT.
Being grit is ability to persevere/kuwa na subira. Grit Ni kuwa na ujasiri na kufanya kazi kusiko kwa kawaida huku ukivumilia vikwazo na misukosuko yote. GRIT Its highly being constantly to improve. Hivyo kwa lugha rahisi ujasiri unaamsha mihemko/hamu ya mafanikio. Hivyo ndugu yangu unapotaka kufanikiwa ni vyema kujihakiki na kujitathimini juu ya Mambo yaliyoelezwa hapo juu.
NB : sidhani kama utauliza swali je wanaoandika haya wao wamefanikiwa? Jibu, labda uandishi ndiyo njia waliochagua katika mafanikio yao ila pia hayakuhusu wewe soma ukiona ni mazuri fuata kama hutaki basi lala au uende kwa waganga utafanikiwa.
Ahsanteni karibuni kwa uzoefu.