Ushauri: Nafanyaje nampenda sana Antu Mandoza

Ushauri: Nafanyaje nampenda sana Antu Mandoza

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,689
Reaction score
2,859
Wakuu!

Toka nimwone mara ya kwanza 2017 Instagram, Antu Mandoza kwa kweli moyo wangu haujawahi tulia. Mara ya kwanza nikajua ni hali ya kawaida.

Mnao mfahamu naomba kujua kuolewa ana boyfriend au yuko single. Na kama yuko single naomba mnao mjua mfikishe ujumbe wangu kwake. Asante
IMG_1602.JPG
 
Wakuu!

Toka nimwone mara ya kwanza 2017 Instagram, Antu Mandoza kwa kweli moyo wangu haujawahi tulia. Mara ya kwanza nikajua ni hali ya kawaida.

Mnao mfahamu naomba kujua kuolewa ana boyfriend au yuko single. Na kama yuko single naomba mnao mjua mfikishe ujumbe wangu kwake. Asante View attachment 1059665
Kaka sio kila unaempenda lazma umuoe utaoa wangapi? Jipimie pia chakula utakacho weza kumeza........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa inaongeza uwezo wa kujiamini;nakushauri zama kwenye akaunti yake na ujieleze jinsi anavyoutesa moyo wako
 
[emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3]
Piga punyeto ukalale acha kuota mchana kweupe

Shopping za Dubai utaziweza au hicho kibanda umiza ulichofungua hapo cha kuchoma magimbi ndiyo unahisi unaweza kumilik hiyo pisi.

Bata kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Back
Top Bottom