Kiasi gani kikubwa umewahi kugharamia Birthday party ya mpenzi wako?

Tairus

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
676
1,055
Kama mada inavyosema

Kuna watu wanajua kupenda vibaya mno,alafu kuna wengine hawana mda na sio hawajali sema wana mambo mengi.

Ila linapokuja swala la bithdays mtu unataka uonekane unajali kiasi fulani.

Sasa nauliza ni kiasi gani KIKUBWA umeshawahi toa kufanilisha hiyo siku ya kipenzi chako iwe makini.

Nataka tushirikishane sababu nafikiria na mimi nibadilike sasa maana kiasi kikibwa ni aibu ata kusema,nakumbuka nilinunua wine 2 na keki..Almost 35000.
 
Ukiona mtu mzima anataka kufanya birtday mpk aalike majirani ujue ana tatizo sehem...ukikata keki ww na familia inatosha sn
Mbona wengine walikesha baharini siku kadhaa mkuu?

Nadhani ni suala hela tu, kama una uwezo unafanya chenye una afford
 
Daah besidei pati,huwa nashukuru God tu kwa kunipa uzima na afya,hayo mengine si ya muhimu
 
Back
Top Bottom