HAVING MONEY vs BEING ROMANTIC

HAVING MONEY vs BEING ROMANTIC

captain temba

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
315
Reaction score
250
katika swala zima la mapenzi haswa kwa kizazi chetu hichi hivyo vitu viwili vimeonekana vinanguvu sana haswa mtu akitaka ku define neno mapenzi

kwa maoni yangu mimi naona pesa ndo inanguvu kuliko kuwa 'romantic' wadada wengi hata ukiwa romantic vipi kama huna pesa utakula za mbavu tu

lakini kuna mtu akaniambia hata ukiwa na pesa lakini haupo romantic wanawake utapata lakini watakuchuna wapeleke kwa serengeti boys ambao wako romantic

sasa jamani ivi kati ya pesa na kuwa 'romantic' kipi kinamzidi mwenzie kwenye kunasa moyo wa mtu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa romantic, msikilize korede bello song mr romantic

Ela utampa tu ukiwa nayo kizuri pale anapokua na shida mtimizie pap to pap ,the rest be romantic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivii vyote vinaenda sambamba ni pua na mdomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom