Pete ya uchumba..kwanini wanaume hupiga goti kumvisha mwanamke

Chief Editor

JF-Expert Member
Feb 18, 2019
780
2,261
Nimeshuhudia wanaume wengi wakipiga goti huku wakiwavalisha Pete za uchumba (engagement ring) sina shaka wala siupingi utaratibu huo ila kuna maswali huwa yananijia ambayo huwa nakosa majibu madhubuti
Mosi..je kupiga goti ni kanuni/sheria au ni utaritibu wa kimazoea?
Pili....je kupiga goti kwa manaume huashiria nini kwa mwanamke wake?
Tatu...je wanaume hufurahia kupiga goti katika tukio hilo au ni mazoea tu ya kijamii yanalazimu?
Nne.. Je wanawake huwa wanawaza nini kuona mumewe mtarajiwa akimvisha pete huku akiwa kapiga goti?
Sidhani kama utaratibu huu upo pia kwa ndugu zetu waislamu ila kwa wakristo ni well experienced and not well known .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupiga goti ni umama

BE THE FIRST TO REPLY:p
Mosi: kwa mtazamo wangu nahisi ni mazoea; binafsi sikupigiwa goti; muhimu ni kitendo cha kuvalishwa pete; How? it doesn't matter
Pili: kiukweli, sitopenda mwanaume wangu apige goti, just like I wouldn't pigia him goti
Tatu: Sijui
Nne: angepiga goti ningemnyanyua!! Au ningepiga goti na mie anivalishe wote tukiwa tumepiga goti
 
Nimeshuhudia wanaume wengi wakipiga goti huku wakiwavalisha Pete za uchumba (engagement ring) sina shaka wala siupingi utaratibu huo ila kuna maswali huwa yananijia ambayo huwa nakosa majibu madhubuti
Mosi..je kupiga goti ni kanuni/sheria au ni utaritibu wa kimazoea?
Pili....je kupiga goti kwa manaume huashiria nini kwa mwanamke wake?
Tatu...je wanaume hufurahia kupiga goti katika tukio hilo au ni mazoea tu ya kijamii yanalazimu?
Nne.. Je wanawake huwa wanawaza nini kuona mumewe mtarajiwa akimvisha pete huku akiwa kapiga goti?
Sidhani kama utaratibu huu upo pia kwa ndugu zetu waislamu ila kwa wakristo ni well experienced and not well known .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uselamavi flani tu! A woman is the one to Bow, mpenzi wangu atanipigia magoti kama sign ya heshima. Mie nitakuwa nimeketi kwenye kiti kama boss kazi!
 
It is just a lack of experience.Na vijana wa leo maisha yao ni movie sana na hii mitandao ni full kuwapoteza.Sikufanya suala hilo siku ya engagement na si kwamba nilinuia but it was automatic manhood character.Yf ndio alipiga goti na huo ndio ustaarab na utamadun wa mwafrika mwanume kama mtawala na kichwa ndani ya nyumba (hii itabaki hivi milele hata wnawake wapinge namna gani).
Nguvu yako kama mwanaume ikishakua ndogo , utapiga tu goti.
Hii sio ishara ya mapenzi wala nini..Ni ishara ya kuwezwa/kuwekwa chin ya mamlaka.
 
Ni ishara ya unafiki uliotukuka.
 
Kuna wanaopiga magoti kwa sababu ya kuiga tu bila ya kujua maana yake,kuna wanaopiga magoti kuonyesha kuwa amefika na hakuna mwingine tena,kuna wanaopiga magoti ili kumuonyesha mpenzi wake kuwa yeye ni mwanaume lakini ni mnyonge kwa mwanamke wake.Hizo ni mbwembwe tu za wanaume,hii haina tofauti na ile kali ya mwaka jana ya kuangusha kilio wakati unavisha pete..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom