Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kuna mwanaume humu hana namba ya demu anaeitwa Happy ? Maana hawa viumbe wakina happy sijui wakoje ni wagumu kukataa na ni wepesi kutoa mchezo sijui kama nimeeleweka. Kama yupo ajitokeze...
7 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu katika pita pita zangu huku tabora nnimegundua jambo la kushangaza sana kwa wanawake wa huku...kwanza wajeuri na sio watiifu kwa wanaume wao...pili wanawake wa tabora wanapenda sana...
6 Reactions
27 Replies
18K Views
Laiti kama ningekuwa na uwezo wa kuzirudisha nyakati nyuma.. Moja kati ya makosa ambayo kamwe nisingeyafanya tena chini ya mbingu.. Nikupotezana nawewe ktk maisha yangu..Ningepambana kwa kila hali...
13 Reactions
46 Replies
9K Views
Habari wakuu. Naulizia tu utaratibu wa talaka, hasa kwa ndoa zilizofungwa kiserikali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu kama heading isemavyo naombeni mbinu pale unamuomba demu namba afu anakuambia kua hana simu hivi wakubwa huwa mnaua vp hili soo au mnatumia swaga gani jameni maana mdogo wenu...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimetoka kijijni Kuja hapa mjini mkoani, mkoa wenye baridi kali nashangaa kaka anavyofaidi maji ya moto MI napewa maji ya baridi wakuu hapa si bora tu nisepe? Au nioe wangu! Sent using Jamii...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa...
6 Reactions
233 Replies
17K Views
JESTINA-1 "Jestina....Jestina....Jestina...tafadhali usifunge macho eeeh mungu usimchukue Jestina wangu nitabaki na nani hapa duniani" hiyo ilikuwa ni sauti ya kijana Alwin akiwa amempakata...
3 Reactions
37 Replies
69K Views
Asee nimekutana na kaka mkubwa mmoja hivi, ana Mademu kama 6 hivi na wote wanamuamini balaa yaani huwaambii kitu, wanamsifia sana kwamba jamaa ni mwaminifu na ni mwanaume wa ndoto yao, hata...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Halafu unamnyonya mate mwanamke... Just know this kwamba idadi ya bacteria ambao wapo mdomoni kwa mtu yoyote ni sawa na idadi ya watu wote wanaishi duniani na pengine kuzidi lakini uko uvinzani...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Hawa wadada walikuwa wakikidhi haja kwa vidume wengi maana ukienda ni pesa yako mnamaliza zoezi haina longolongo lakini toka uongozi wa sifa uingie madaraka hii bidhaa imekuwa adimu location zote...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tusije sababishiana kuja kufumuana marinda jamani. Wacha niwapeni ka stori kadogo kalikonikuta ndugu yenu Mimi MZEE WA KASUMBA Mwaka 2019 ulipoanza nilimtongoza bint mmoja hivi, yule bint bila...
6 Reactions
35 Replies
49K Views
Jamani Leo nimefulia sana.ukimuomba mwanaume hela unaonekana una tabia mbaya. Kuna asiefulia jamani Naombeni laki wakuu nitarudisha Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
95 Replies
6K Views
Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri, Tangu nimeoa sijawahi ishi mbali na mama watoto wangu na mda wote huo tumeishi wote sijawahi kumsaliti au kupata tamaa na mwanamke mwingine zaidi tu ya kuwakodolea...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Hi guys, Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu...
6 Reactions
106 Replies
23K Views
Wagwan inakuaje wakubwa na watu wa makamo Oya leo nimepata namba ya mtoto mkali Iiiiiii waiti kala jamani apa nawaza nimpgie sa hv au tomorow aisee hata sielewi nahisi kuvurugwaaaaa Najua...
0 Reactions
11 Replies
948 Views
Nimezaliwa takribani miaka 26 iliyopita katika mkoa wa Iringa.Baada ya kumaliza shule ya msingi mzazi wangu hakuwa na fedha ndipo nikapelekwa na jirani yangu Dar es salaam kufanya kazi za ndani...
6 Reactions
53 Replies
52K Views
habari zenu wana JF ,kuna tukio moja lilishawahi kunitokea wakati nipo form 6 shule flani hapa TZ ,kuna binti tuliyelkuwa tunasoma nae alikuwa ananipenda sana ilà Mimi sikuwa na interest nae, ni...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwamba Siku ambayo Mwanaume akimjaza Mimba Mpenzi wake wawili mkiwa Mapenzini baada ya ' Kukojoa / Kupizi ' basi huwa ' Mnakumbatiana ' sana kuliko ilivyo kawaida yake? Manake kama ni '...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom