Wadada poa hivi bado wapo?

Wadada poa hivi bado wapo?

Sumu Boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
206
Reaction score
218
Hawa wadada walikuwa wakikidhi haja kwa vidume wengi maana ukienda ni pesa yako mnamaliza zoezi haina longolongo lakini toka uongozi wa sifa uingie madaraka hii bidhaa imekuwa adimu location zote hawapatikani kama ilivyokuwa mwanzo nadhani na sisi vidume tukiokuwa tunaponea tungeandaa maandamano yetu ili hii product irudi sokoni kama ilivyokuwa mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeepushwa na kuvunja amri ya Mungu... Mnapaswa kushukuru sana wanaume acheni kujiendekeza kila imani inakataza uzinzi na uasherati.
 
Mbona bidhaa bado iko sokoni tena kina digital na analog uchaguzi ni wako ukae ghetto aje au wewe ufuate

mpuuzi mpuuzi tu
 
Mmeepushwa na kuvunja amri ya Mungu... Mnapaswa kushukuru sana wanaume acheni kujiendekeza kila imani inakataza uzinzi na uasherati.
Samahani, vipi mumeo hajarudia mchepuko kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mpuuzi mpuuzi tu
 
Siku hizi ni kimtandao zaidi, mtaani Mamwela wanawabugudhi sana.
 
Ushapita Buguruni kimboka kabla ya kuja na huu uzi uchwara wako??
 
Hawa wadada walikuwa wakikidhi haja kwa vidume wengi maana ukienda ni pesa yako mnamaliza zoezi haina longolongo lakini toka uongozi wa sifa uingie madaraka hii bidhaa imekuwa adimu location zote hawapatikani kama ilivyokuwa mwanzo nadhani na sisi vidume tukiokuwa tunaponea tungeandaa maandamano yetu ili hii product irudi sokoni kama ilivyokuwa mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
ungekuwa na shiiida ungetafuta iliko
 
Back
Top Bottom