Utaratibu wa talaka ukoje?

Utaratibu wa talaka ukoje?

Mkuu hebu tueleze tatizo ni nini adi umefikia hatua ya Kudai/kutoa talaka. Pengine utapata mawazo mazuri
 
kwanza mnapenda baraza la kata ambao ndio wasuluhishi nakikao wakisema wameshindwana kuwasuluhisha mnaenda mahakamani kila pande inasikilizwa..hukumu itatolewa mtapeana taraka,then mgawanyo wa mali.na custody ya watoto.. ili upate haraka nenda primary court..all the best...

Sent using Jamii Forums mobile app
Loh! Nitahamia Uingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Talaka ya nini ilhali mnatengana tu kwa muda kila mmoja atamkumbuka mwenzie mtatafutana na mtaendelea kubanjuana tu
 
Back
Top Bottom