MyheadzMyboss
Member
- Apr 2, 2016
- 86
- 130
Halafu unamnyonya mate mwanamke... Just know this kwamba idadi ya bacteria ambao wapo mdomoni kwa mtu yoyote ni sawa na idadi ya watu wote wanaishi duniani na pengine kuzidi lakini uko uvinzani hamna bacteria wengi na wengi wao ni normal flora.
Done done.
Sent using Jamii Forums mobile app
Done done.
Sent using Jamii Forums mobile app