HII NDIYO LIMBWATA KALI KULIKO LIMBWATA ZOTE!!!!

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
Wakuu katika pita pita zangu huku tabora nnimegundua jambo la kushangaza sana kwa wanawake wa huku...kwanza wajeuri na sio watiifu kwa wanaume wao...pili wanawake wa tabora wanapenda sana ushirikina sana tena sana,hasa hasa wanapendelea kuloga wanaume zao ili wawapelekeshe na kuwafanya watumwa wa mapenzi...sasa mbinu zao ni nyingi sana wanapotaka kumshika mwanaume na kumuendesha kisawasawa..anaweza akaja kwako alafu akakuibia nguo ya ndani anaenda kuifanyia mambo yake alafu anairudisha kwa siri..hii ilishanikuta baada ya kumstukia nikamwambia hiyo nguo asiirudishe na mimi na yyy ndio basi...au kama unaishi nae anaweza akafukia dawa mlangoni kwako ukitoka tu mashine haisimami huko unakoenda mpaka ukiingia ndan kwako ndio mzigo unafanya kazi...sasa mbaya zaidi ni hiii anachukua kipande kidogo cha nyama ya ng'ombe.mbuzi, au kuku alafu anakiweka sehemu za siri kwa siku tatu au mpaka saba na anapoweka hiyo nyama hatakiwi kufanya mapenzi kwa kipindi chote icho..na kadiri anavyozidi kuiweka siku nyingi ndivyo inavyozidi kuwa kali hii ndiyo limbwata hatari sana,baada ya kuiweka nyama hiyo kwa siku atakazoona zinatosha anaitoa hiyo nyama alafu anachukua umga wa miti kadhaa ya porini..anaichanganya na icho kinyama..matumizi yake sasa..anatakiwa akupikie nyama ya aina ileile aliyotumia kuiweka kwenye papuch yake...yan kama alitumia nyama ya kuku basi inatakiwa akupikie kuku.au kama ni mbuzi basi akupikie nya ya mbuzi alafu achukue kile kinyama alichokiweka kwenye papuchi anakichanganya na hiyo mboga anayoipika.. Hapo mzee ukithubutu tu kula hiyo mboga umeisha haijalish umekula kile kijinyama au hukukila ila kama tu umethubutu kunya tu hata mchuzi mzee umeisha..yani hata ukisema utibiwe kupona ni nadra sana....
Uchawi upo jamani mungu atunusuru sana
 
Wanawake wa Tabora mbona wanamengi Sana... Juzi tu walikuwa na ugoro+magadi mengi leo Tena nyama ukiangalia themes za story zote unaona zinapingana...

Typed Using KIDOLE
 
THE BLOOD OF JESUS CHRIST
binafsi mungu amenilinda sana nimetoka kwenye mitego mitatu na yote ilikua ya hatari...kuna mwingine alikuja kwangu muda anataka kuondoka ..akaenda chooni kwanza..basi akili ikanijia nikahisi kitu kinanisukuma niipekua pochi ya yule dada basi nikaifungua haraka nikakuta nguo zangu nikazitoa alafu siku mwambia kitu..anarudi kutoka chooni akabeba poch lake akaondoka nikawa nimesalimika..nayeye nikampotezea..tangu siku hiyo sidharau hisia zangu nikipata mashaka tu juu ya jambo fulan huwa sidharau..muda mwingine mungu ndio anakukumbusha kupitia hisia zako mwenyewe
 
Back
Top Bottom