Naombeni msaada wenu jinsi ya kuua soo wakuu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,503
Reaction score
27,812
Habari zenu wakuu kama heading isemavyo naombeni mbinu pale unamuomba demu namba afu anakuambia kua hana simu hivi wakubwa huwa mnaua vp hili soo au mnatumia swaga gani jameni maana mdogo wenu huwa nkiambiwa hivyo tu nasepaaaa
Msaaada wakuuu
#yungtemper

yes bishoo haswaaa
 
endelea kusubir embe liive mtini wenzako wanachuma ivo ivo bichi wanakula na chumvi. subir waje wakupe madongo yako maana ni upuuzi tu ulioandika apa mnatuhaibisha wanaume jaman
 
Simple...unaenda nunua iphone x inampa then unaomba namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwachie namba yako au mwambie lini atakua namda muweze kutana..
Asiporespond hapo mchape makofi tembea zako
 
Sawa si kila mtu anajua kila kitu mkuu
Kumbuka bila ya kuwepo wajinga walo na akili wasingejulikana
endelea kusubir embe liive mtini wenzako wanachuma ivo ivo bichi wanakula na chumvi. subir waje wakupe madongo yako maana ni upuuzi tu ulioandika apa mnatuhaibisha wanaume jaman

yes bishoo haswaaa
 
Habari zenu wakuu kama heading isemavyo naombeni mbinu pale unamuomba demu namba afu anakuambia kua hana simu hivi wakubwa huwa mnaua vp hili soo au mnatumia swaga gani jameni maana mdogo wenu huwa nkiambiwa hivyo tu nasepaaaa
Msaaada wakuuu
#yungtemper

yes bishoo haswaaa

Namba ya kazi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom