kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Asee nimekutana na kaka mkubwa mmoja hivi, ana Mademu kama 6 hivi na wote wanamuamini balaa yaani huwaambii kitu, wanamsifia sana kwamba jamaa ni mwaminifu na ni mwanaume wa ndoto yao, hata sielewi jamaa anawezaje kuishi na Wanawake wote hao kwa zaidi ya mwaka na bado wakamuamini kiasi kile na bila kufumaniwa au kushtukiwa.
Wazinzi wapo smart sana asee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazinzi wapo smart sana asee....
Sent using Jamii Forums mobile app