Wenzetu wanayawezea maisha

Wenzetu wanayawezea maisha

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote wameolewa wako kwa waume zao. Wanaume wote wameoa na wanakaa pamoja katika nyumba ya wazazi.

Aliniambia wanakula wote pamoja. Sasa sikumoja ametoka kupika chicken, bakuli lilimponyoka mikononi akiwa anapeleka mchuzi mezani.

Shemeji mkubwa alitoa joke tu na kuanza kumsaidia kusafisha sakafu. Ilibidi maarifa mengine yafanyike haraka watu wale chakula.

Watoto wote wanasoma shule moja na Baba anaelipa ada analipa ada ya wote. Wavulana wote wanalala pamoja sawa na wasichana.

Wanawajengea watoto wa kiume wote nyumba zao kila mmoja kwa pamoja. Wakike wanaamini wataolewa.
 
Haya mambo ya kawaida ttz lako umeisha muheza tu kwenu lkn mbona kwa wadigo, wasegeju na wabondei waliolowea tanga mjini hayo ya kawaida. Ila kwa wahindi na waarab na hata walatin ni sehem ya tamaduni zao hizo
 
Wahindi na waarabu hawana tofauti jinsi wanavyo ishi, tatizo lao wanasemana sana. Na ukienda kuwatembelea ukitoka tu unasemwa

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kwa hiyo mimi nilimalizwa
 
Hapo vijana wa kiume kulala tofauti na wake zao no ngumu kwa huku kwetu
 
wahindi hawana tofauti sana na wale ndugu zetu wa iraq maana wao wanajichanganya wate, watoto wate pamoja, na mifugo pamoja, ila ni tamaduni walizozoea tuu mimi hayo maisha siyawezi wala hata siyatamani
 
Najaribu kujenga picha Mwanamke wa Kibongo umeolewa kwenye hiyo familia ya kihindi. Mweusi ni wewe tu peke yako na ndio unasiku 1 tangu uolewe.
Kihindi ukijui utakuwa unahisi unatetwa tu muda wote.
 
Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote wameolewa wako kwa waume zao. Wanaume wote wameoa na wanakaa pamoja katika nyumba ya wazazi.

Aliniambia wanakula wote pamoja. Sasa sikumoja ametoka kupika chicken, bakuli lilimponyoka mikononi akiwa anapeleka mchuzi mezani.

Shemeji mkubwa alitoa joke tu na kuanza kumsaidia kusafisha sakafu. Ilibidi maarifa mengine yafanyike haraka watu wale chakula.

Watoto wote wanasoma shule moja na Baba anaelipa ada analipa ada ya wote. Wavulana wote wanalala pamoja sawa na wasichana.

Wanawajengea watoto wa kiume wote nyumba zao kila mmoja kwa pamoja. Wakike wanaamini wataolewa.
Unavosema wanayaweza maisha uangalie na uchumi wao.
Hakuna asieyaweza maisha isipokuwa uchumi tu ndo unafanya mwingine aonekane anaweza mwingine hawezi so kulikuwa hakuna haja ya kuanza kuwasifia wahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina shost Mhindi, basi siku moja katika kupiga story aliniambia yeye ameolewa na last born wa familia. Familia ya mume wake wako sita, wanaume watatu na wanawake watatu. Wanawake wote wameolewa wako kwa waume zao. Wanaume wote wameoa na wanakaa pamoja katika nyumba ya wazazi.

Aliniambia wanakula wote pamoja. Sasa sikumoja ametoka kupika chicken, bakuli lilimponyoka mikononi akiwa anapeleka mchuzi mezani.

Shemeji mkubwa alitoa joke tu na kuanza kumsaidia kusafisha sakafu. Ilibidi maarifa mengine yafanyike haraka watu wale chakula.

Watoto wote wanasoma shule moja na Baba anaelipa ada analipa ada ya wote. Wavulana wote wanalala pamoja sawa na wasichana.

Wanawajengea watoto wa kiume wote nyumba zao kila mmoja kwa pamoja. Wakike wanaamini wataolewa.
Hiyo ni life style ya wahindi kuishi kifamilia, ila kama wote mna kazi su vipato matumizi ya nyumbani kwa mwezi ni donation, na hilo la watoto kujengewa ni chai ya asubuhi, maisha ya Wahindi ni National housing, labda warithishane appartment au mikataba ya NHC.
 
Hiyo ni kife style ya wahindi kuishi kifamilia, ila kama wote mna kazi su vipato matumizi ya nyumbani kwa mwezi ni donation, na hilo la watoto kujengewa ni chai ya asubuhi, maisha ya Wahindi ni National housing, labda warithishane appartment au mikataba ya NHC.
Kama huna kazi unapewa mtaji wa biashara na changamoto za biashara zinaongelewa sebuleni jioni hata watoto wanazisikia na kujifunza. Kwakweli alisema watoto wa kiume wanawaanzishia maishawkwa kuwajengea inawezekana ni kwao India.
 
Hawa Wahindi wa hapa hawana chao India zaidi ya bussiness connection, ukumbuke hata wale waliofukuzwa Uganda na Idd Amin India ilikataa kuwapokea ndio wakapokelewa na Uingereza.
Ila kwenye kuwawezesha watoto wapo vizuri, fisadi la Kitanzania linampa mtoto wake cash akajirushe badala ya kumfundisha skills za kimaisha baadaye akifa kila kitu kinakufa na familia inaanza kuuza mali na kubaki hoi.

Ona mfano wa Mo Dewji, baba yake ndio muanzilishi na yupo hai Mzee Ghullum Dewji lakini baada ya kumpiga shule ya ukweli mtoto wake Marekani amerudi Tanzania na kuleta mapinduzi chanya kwenye makampuni ya baba yake na sasa mtoto ndio Billionare kulijo Baba mtu na hii ipo kwa Wahindi wengi nawajuwa siyo maarufu kwenye media, yupo mmoja nilikuwa naye same desk lakini kwa sasa yupo kwenye orodha ya Mabillionare 10 wa Kitanzania. Hatuna wa kumlaumu tupambane na hali zetu tu.
 
Back
Top Bottom