Wanaume waliooa au wenye wahusiano imara tu.

ziloi

JF-Expert Member
Apr 15, 2018
758
1,063
Ndugu zangu naombeni ushauri, Tangu nimeoa sijawahi ishi mbali na mama watoto wangu na mda wote huo tumeishi wote sijawahi kumsaliti au kupata tamaa na mwanamke mwingine zaidi tu ya kuwakodolea macho wanawake wenye makalio makubwa na mishepu yao nakula kwa macho, badae jioni naenda kuvutia hisia kwa mke wangu.

Sasa tatizo hapa linakuja baada ya mimi kupelekwa mbali sana naye na hadi sasa ni miezi 2 sijawahi kumwona na kumwona ni hadi mwaka uishe kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Mbaya zaidi na yeye hawez kunifuata huku sababu ya kazi yako, Biashara zangu na familia.

Nikiongea naye usiku huwa namtamani sana hadi najikuta mchana mzima nawaza hicho kitendo kitu kinachonipelekea mwili wote unakuwa na uchovu fulani hivi usioelezeka na akili yangu imekuwa nzito balaa na mbaya zaidi nimekuwa mtu wa hasira sana. Kweli ndo naelewe kwamba nyege ni mbaya sana kuliko njaa.

Nahisi ukomo wangu wa kufikiri umeishia hapo, Tafadhari tushirikishane nyie wanaume mnaosafiri mbali na wake zenu wenda ndani au nje ya Nchi mnafanya vipi? Tofauti na kutoka nje ya ndoa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi gani iyo huwezi omba siku 7 ukakae na familia ata usingizie ugonjwa mtu anaumwa kuna vitu ambavyo vinaleta ushawishi kwa wenza kugegedwa nje upo ndani ya nchi unashindwa nn kuomba leave ya siku7 kwamba kuna dharura home zuia mianya ya mkeo kugegedwa na kama mnatiana nyege kwenye simu kwa text au video za uchi aisee lazma aliwe.

NB.
Boss akupendi ww anapenda kazi yako vivyo ivyo kwa mkeo jali familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu atakuw analiwa huyo, vijana wa sikuhzi mikuyenge haina break

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi pia yalinikuta... fanya mazoezi ya viungo hamu itapotea yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi gani iyo huwezi omba siku 7 ukakae na familia ata usingizie ugonjwa mtu anaumwa kuna vitu ambavyo vinaleta ushawishi kwa wenza kugegedwa nje upo ndani ya nchi unashindwa nn kuomba leave ya siku7 kwamba kuna dharura home zuia mianya ya mkeo kugegedwa na kama mnatiana nyege kwenye simu kwa text au video za uchi aisee lazma aliwe.

NB.
Boss akupendi ww anapenda kazi yako vivyo ivyo kwa mkeo jali familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekwelewa ila mazingira hayaruhusu kabisa. Umbali pia ni mrefu sana nauli ni zaidi ya matumiz ya mtu kwa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom