Wat ama 'bout to say... I'm sure sme niggaz aint gonna like it.but am gonna say anyway.
There is dis chick here who has been tryin so hard to come on me.but dat aint nuff she told sme bitches...
IPO hivi takwimu. Zinaonesha kwamba wanawake ni wengi kuliko sisi hata sensa ya 2014 kwa hapa bongo tu Idadi ya wanawake Tanzania Bara ilikua 23,058,933 na wanaume 21,869,990.
Ukitoa hapo unapata...
Mapenzi ya karne hii muda mwingine si ya kuingia na miguu yote miwili, mmoja nje moja ndani. "Hizi baby i love you too, i love you too" usivimbe kichwa na kuamini asilimia mia. Siri ya mtu, ipo...
Mfano she is married and I ask her out then she replies " Unajua mi mke wa mtu, siwezi kumsaliti mume wangu Aisee!!!
To me that word " Aisee" sound very different with the rest of the words in...
Kama unashida sema "kaka naomba unisaidie ( kitu flan)"
Sasa huwezi sema "NIKOPESHE" af baada ya kukupa hela unajifanya kama hujui kama nakudai af nikuulize useme ulidhan nimekusaidia.
Je...
Usiku huu kuna baridi kweli pande zetu hizi nyanda za juu Kusini kiwinter kimekolea hatari....
Sasa mtoto wa watu tumafua twa hapa na pale tumenishika sasa rafiki yangu Mkerewe kaja kuniona...
Wakuu,
Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4,
Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku.....
Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa.
Ni hivi, huyu manzi kachora...
Yes, I think so.
Hayo yalikua ni majibu ya bint mmoja baada ya kuona ananiletea drama kama za Telemundo niliamua kumuuliza in black and white nikiwa tayari kupokea jibu lolote atakalosema...
Mwanamke unamgharamikia pesa nyingi sana na yeye anakusumbua kwa kila jambo lake. Michepuko nayo inahudumiwa kuliko wake.
UMNUNULIE
1. Nguo
2. Simu
3.zawadi kila week au mwezi
4.vifurushi vya...
Kuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja...
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba 99.9% ya Wanawake wengi popote pale duniani hupenda kuwa na ama Mahusiano au Kuolewa na Wanaume ambao Kimaumbile / Kimuonekano wanafanana na Baba zao wa...
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki...
Ndugu wanaJF, Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini.
Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana.
Ilikuwa ni mwezi wa Tano...
Kumekuwa na tabia ya wadada kupenda kupaka kemikali mdomoni sijui mnaita shedo au lipshine pale mnapokuwa na mtoko ili kunogesha uzuri wenu mliojaaliwa.
Mimi ninawaomba pale unapokuwa na miadi na...
Wanaume hili jambo tunalijua ila huwa hatuliweki akilini mwetu. Sisi na wanawake tupo tofauti. Muumba alituumba tofauti. Hawa wenzetu angalia hata kama una mtoto mdogo wa kike akikasirika...
Mbuzi kafia kwa muuza bucha.
Dada mmoja hivi, mkubwa kidogo kanizidi miaka miwili kwa umri. Ni mtu ambaye tumezoweana Sana katika maisha ya kawaida.
Leo
Ameniomba nimsaidi kumkwangua genye zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.