WADADA MNAPOKUJA MWENYE MAKUTANO YA FARAGHA MSIPAKE MAKEMIKALI

Jorsiea

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
222
Reaction score
346
Kumekuwa na tabia ya wadada kupenda kupaka kemikali mdomoni sijui mnaita shedo au lipshine pale mnapokuwa na mtoko ili kunogesha uzuri wenu mliojaaliwa.

Mimi ninawaomba pale unapokuwa na miadi na mpenzi wako na mkaweka ahadi ya kukutana kwa ajili ya show na unafahamu kabisa kuwa wewe ni mpenzi wa mambo yetu yale kabla ya show (denda) msipake hayo madude kwasababu huwa tunajikuta tumeyala na hatujui huko tumboni yana madhara gani.

Majuzi hapa nilipiga show na Binti ambaye kabla alikuwa na mdomo mwekundu kama kasuku ila kumaliza aisee mdomo umekuwa mweusi hadi nikashangaa, nawaomba mtuhurumie kwa hili maana la kutoomba hela limewashinda.
 
Hivi huwa kuna muda wa kuoga kwanza?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi nikifika na Mtoto ndani...Story kidogo, mara kutaniana mara kuchezeana....mara kuvuana nguo...hahhaha...Mara hiiiiiiiyoooooooo...Chiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya tukio la kutinduana munawage na kuoga kwanza

Utakulaje bila kunawa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mnakutana na harufu za ajabu halafu kelele mnatumwagieni huku.....

Kawaida appointment ya kukulana kwa ninavyojua mwanamke mwenye uanamke basi hujiandaa na hawezi jipakaa makorokocho hayo

Lakini km umepatana nae barabarani basi mkifikia eneo la tukio kuoga/kunawa ni lazima
Hivi huwa kuna muda wa kuoga kwanza?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi nikifika na Mtoto ndani...Story kidogo, mara kutaniana mara kuchezeana....mara kuvuana nguo...hahhaha...Mara hiiiiiiiyoooooooo...Chiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa kuna muda wa kuoga kwanza?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi nikifika na Mtoto ndani...Story kidogo, mara kutaniana mara kuchezeana....mara kuvuana nguo...hahhaha...Mara hiiiiiiiyoooooooo...Chiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza unamtindulia bafuni kwenye shower

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa kuna muda wa kuoga kwanza?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi nikifika na Mtoto ndani...Story kidogo, mara kutaniana mara kuchezeana....mara kuvuana nguo...hahhaha...Mara hiiiiiiiyoooooooo...Chiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee harafu mnakuja kuleta mada wananuka k.Usafi lazima kabla ya tendo.
 
Ndo maana mnakutana na harufu za ajabu halafu kelele mnatumwagieni huku.....

Kawaida appointment ya kukulana kwa ninavyojua mwanamke mwenye uanamke basi hujiandaa na hawezi jipakaa makorokocho hayo

Lakini km umepatana nae barabarani basi mkifikia eneo la tukio kuoga/kunawa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaonekana hata baada ya tendo huwa haogi ni kuvaa na kusepa.
 
Ndonyie mnaonuka mapumxx ka shombo ya samaki kwani sabuni na maji bei gani??kwanza we mvulana au wakiume
 
Kumekuwa na tabia ya wadada kupenda kupaka kemikali mdomoni sijui mnaita shedo au lipshine pale mnapokuwa na mtoko ili kunogesha uzuri wenu mliojaaliwa.

Mimi ninawaomba pale unapokuwa na miadi na mpenzi wako na mkaweka ahadi ya kukutana kwa ajili ya show na unafahamu kabisa kuwa wewe ni mpenzi wa mambo yetu yale kabla ya show (denda) msipake hayo madude kwasababu huwa tunajikuta tumeyala na hatujui huko tumboni yana madhara gani.

Majuzi hapa nilipiga show na Binti ambaye kabla alikuwa na mdomo mwekundu kama kasuku ila kumaliza aisee mdomo umekuwa mweusi hadi nikashangaa, nawaomba mtuhurumie kwa hili maana la kutoomba hela limewashinda.
chezea kwichi kwichi wee
 
Ndo maana mnakutana na harufu za ajabu halafu kelele mnatumwagieni huku.....

Kawaida appointment ya kukulana kwa ninavyojua mwanamke mwenye uanamke basi hujiandaa na hawezi jipakaa makorokocho hayo

Lakini km umepatana nae barabarani basi mkifikia eneo la tukio kuoga/kunawa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sasa mpenzi wa MDA Mrefu.
Manake penzi jipya mnavyojua kudengua huo MDA wa kuoga unatoka wapi?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom