haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,567
- 3,838
Kama unashida sema "kaka naomba unisaidie ( kitu flan)"
Sasa huwezi sema "NIKOPESHE" af baada ya kukupa hela unajifanya kama hujui kama nakudai af nikuulize useme ulidhan nimekusaidia.
Je! hujui maana ya neno KUKOPESHA?
unapofanya unahaki na hela yangu wewe ni nani? Kwanini mwanaume wako asikusaidie ?
Je mimi sina dada zangu?
From now naweka roho ngumu, wadada wanajifanya wajanja sanaa