Mwanaume ndio tunaongoza kwa usaliti kuliko wanawake

Mwanaume ndio tunaongoza kwa usaliti kuliko wanawake

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
1,618
Reaction score
2,748
IPO hivi takwimu. Zinaonesha kwamba wanawake ni wengi kuliko sisi hata sensa ya 2014 kwa hapa bongo tu Idadi ya wanawake Tanzania Bara ilikua 23,058,933 na wanaume 21,869,990.
Ukitoa hapo unapata jibu ni wanawake wangapi wanabaki,,,

Lakini ingia mtaani saiv kila demu anakwambia anabwana huyo bwana kamtoa wapi kama sio bwana wa MTU?

Hebu jaribu kuwaza kama Mimi hapo utagundua sie ni wasaliti kuliko ke na hii hatufanyi kwa maksudi tunafanya kwa kuwasaidia




Ivi ushawaza wanaume tungekua wengi kuliko wanawake ingekuaje aiseee?

WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
 
Kama lengo lako ni wanaume tuache kuchepuka hakika wa chuya ndio halali yako, utaula.
Sio lengo langu mkuu soma vizuri nimesema tusaliti sio kwa ubaya ni kwa kuwasaidia tu

WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
 
Aisee, nikisoma hili bandiko halafu nikikumbuka na ule utafiti wa 49% kutoka kwa mkemia mkuu akili inakua nzito sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
IPO hivi takwimu. Zinaonesha kwamba wanawake ni wengi kuliko sisi hata sensa ya 2014 kwa hapa bongo tu Idadi ya wanawake Tanzania Bara ilikua 23,058,933 na wanaume 21,869,990.
Ukitoa hapo unapata jibu ni wanawake wangapi wanabaki,,,

Lakini ingia mtaani saiv kila demu anakwambia anabwana huyo bwana kamtoa wapi kama sio bwana wa MTU?

Hebu jaribu kuwaza kama Mimi hapo utagundua sie ni wasaliti kuliko ke na hii hatufanyi kwa maksudi tunafanya kwa kuwasaidia




Ivi ushawaza wanaume tungekua wengi kuliko wanawake ingekuaje aiseee?

WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
Ni miaka 5 imepita since 2014. Still bado point yako aina mashiko. What if idad kwa sasa iko sawa?
Kuchepuka ni hulka ya mtu na si hulka za watu. idada si kigezo bali mahitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom