Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama unashida sema "kaka naomba unisaidie ( kitu flan)" Sasa huwezi sema "NIKOPESHE" af baada ya kukupa hela unajifanya kama hujui kama nakudai af nikuulize useme ulidhan nimekusaidia. Je...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Usiku huu kuna baridi kweli pande zetu hizi nyanda za juu Kusini kiwinter kimekolea hatari.... Sasa mtoto wa watu tumafua twa hapa na pale tumenishika sasa rafiki yangu Mkerewe kaja kuniona...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna manzi tumedumu kwa miezi 4, Kwa kipindi chote, jana ndo nimefanikiwa ku..... Kwakipindi kirefy alikuwa ananibania sana, na nimegundua baada ya Janaa. Ni hivi, huyu manzi kachora...
7 Reactions
145 Replies
19K Views
Yes, I think so. Hayo yalikua ni majibu ya bint mmoja baada ya kuona ananiletea drama kama za Telemundo niliamua kumuuliza in black and white nikiwa tayari kupokea jibu lolote atakalosema...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Mwanamke unamgharamikia pesa nyingi sana na yeye anakusumbua kwa kila jambo lake. Michepuko nayo inahudumiwa kuliko wake. UMNUNULIE 1. Nguo 2. Simu 3.zawadi kila week au mwezi 4.vifurushi vya...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri. Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja...
28 Reactions
70 Replies
6K Views
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba 99.9% ya Wanawake wengi popote pale duniani hupenda kuwa na ama Mahusiano au Kuolewa na Wanaume ambao Kimaumbile / Kimuonekano wanafanana na Baba zao wa...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wakuu Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki...
6 Reactions
95 Replies
9K Views
Ndugu wanaJF, Katika mizunguko yangu ya kufanya Tafiti mwaka juzi 2017 niliamua kuanza kufanya Tafiti za Baharini. Kusema kweli duniani kuna maajabu mengi sana. Ilikuwa ni mwezi wa Tano...
1 Reactions
120 Replies
21K Views
Kumekuwa na tabia ya wadada kupenda kupaka kemikali mdomoni sijui mnaita shedo au lipshine pale mnapokuwa na mtoko ili kunogesha uzuri wenu mliojaaliwa. Mimi ninawaomba pale unapokuwa na miadi na...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanaume hili jambo tunalijua ila huwa hatuliweki akilini mwetu. Sisi na wanawake tupo tofauti. Muumba alituumba tofauti. Hawa wenzetu angalia hata kama una mtoto mdogo wa kike akikasirika...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Mbuzi kafia kwa muuza bucha. Dada mmoja hivi, mkubwa kidogo kanizidi miaka miwili kwa umri. Ni mtu ambaye tumezoweana Sana katika maisha ya kawaida. Leo Ameniomba nimsaidi kumkwangua genye zake...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Potelea mbali Uzuri mimi siyo mnafiki wala mwoga mwoga kusema hisia zangu. Sakayo ni mwanadada anayenisisimua kimapenzi hapa JF. Simjui yupoje, sijawahi kumwona ila nimejitengenezea picha...
5 Reactions
128 Replies
9K Views
Wanajamvi iko hivi. Kipi ni sawa kati ya hivi Umeanza mahusiano na mkaka au dada umekaa naye kwenye mahusiano toka miaka ya nyuma au wewe ndio mtu wake wa kwanza yaani kubikiriana then unamuoa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau, Niko kwenye mchakato wa kudivorce na nimehamishiwa hapa Dar kikazi, natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani aliye makini ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Yes, as the title says....what would you, ladies, prefer? It can be not a mind boggling thing to some of us here, but I request your preference should you find it useful to share. What would you...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Daaaah wanawake wengine bhana Mwanzoni mwa mwezi huu nikiwa safarini mkoa flani nikakutana na binti kwenye gari tukakaa siti moja Ghafla tukazoeana sana hadi ikafikia hatua tukalala wote kule...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Habar wakuu , Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika Wazungu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Hello guys Huyu mdada (sio malaya anaejiuza) nlikutana nae club ambayo huwa ana mtindo wa kwenda na rafiki ake wa kike, kama kawaida yangu mende nikatia swaga nikachukua namba, na haya ndo...
10 Reactions
95 Replies
11K Views
Back
Top Bottom