PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Mapenzi ya karne hii muda mwingine si ya kuingia na miguu yote miwili, mmoja nje moja ndani. "Hizi baby i love you too, i love you too" usivimbe kichwa na kuamini asilimia mia. Siri ya mtu, ipo moyoni.
#RaiaMwema
#RaiaMwema