Wanawake na wanaume tupo tofauti

Wanawake na wanaume tupo tofauti

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,253
Wanaume hili jambo tunalijua ila huwa hatuliweki akilini mwetu. Sisi na wanawake tupo tofauti. Muumba alituumba tofauti. Hawa wenzetu angalia hata kama una mtoto mdogo wa kike akikasirika anakuwaje na yule wa kiume anakuwaje.

Tunachokosea zaidi ni kushindana na nao. Pakiwepo mgogoro basi mtalumbana na mwisho mwanamke hushinda. Kamwe huwezi shinda malumbano na mwanamke. Hili linaharibu maisha ya wengi.

-Ulishaingia kwako ukanyimwa salamu? Usilumbane tumeumbwa nao tofauti. Au kununiwa bila sababu?

Ukitaka kuishi vizuri nao wewe kila kitu sema ndiyo...hii ndiyo haina maana utaenda kutekeleza ulichoitikia...ila kwa muda huo mwambie ndiyo.
 
Sawa mkuu!! [emoji4]
 
Wanawake ni viburi tu ndio vinawasubumbua, dawa ya mwanamke kiburi ni mwanamke mwenzie au ganja
 
We are different yes, but inabidi kila mmoja ajue nafasi yake kwa muda tofauti.

Namaanisha kama Baba/Mama, Mume/Mke, Kaka/Dada.

Huwezi kusema eti mumeo awe mtu wa ndio ndio kisa umekasirika. That's bullshit. Let your man keep his position kama kichwa cha familia. Ishi na mumeo kiakili zaidi. Men can be very unpredictable especially the quiet ones. Walk away and calm your demons.

Mfano, anapoingia nyumbani ukaanza kufoka anaweza tu kukuitikia because the poor man is damn tired kugombania daladala etc, famished amekosa hata muda wa kula mchana. Anataka tu ale, alale apumzike akili. So hapo watasema yes to anything utakachosema.

But wait until his mind is free. Wait until amekaa na washkaji zake wanabadilishana mawazo afu washkaji wenyewe wawe maboya. Hutaamini atakavyo badilika siku si nyingi.

So Daby hapa asiwadanganye mkaona Ndio Ndio eti ndo mumewini na mwanamme keshakuwa boya. Be very careful. Retreat your footsteps and treat your man with respect.
 
Mwanamke akishakuwa na mdomo mwingi dawa yake ni makofi tu
 
Mwanaume unaonesha uanaume wako hiyo Ndiyo itakuja kukutokea mdomon siku

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa navyowajua wanawake,,ukiwa mwanaume wa ndio Basi jiandae kuwa msukule wake

Mwanaume akiwa mpole Sana kwa namna yyte ile lazima aendeshwe
Wanawake tunavyopenda kuendesha ,,,ukiwa Domo zege Sana mbona utaisoma namba[emoji2]

Kuweni wapole ila msizidi kiwango...hiyo ndio kila kitu mbna mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akirudi nyumbani saa4 usiku ukimuuliza ametoka wapi akisema kusuka usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo..

Akichukua nguo zako na kumpa house boy bila ruhusa yako wewe,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo

Ukitoka kazini ukute hajapika yupo bize anaangalia tv wewe ukimuuliza kwanini hujapika akikujibu alikua bize anaangalia tv,wewe usirumbane naye sema ndiyoooooooooooooooooo

Akikwambia mume wangu nataka kwenda club nitarudi kesho asubuhi,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooooooooo

Akikwambia mume wangu sasahivi huniridhishi naona kama dushe yako imekua ndogo,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo

Akikwambia mume wangu leo ni zamu yako kufua na kudeki usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo
 
Kwa navyowajua wanawake,,ukiwa mwanaume wa ndio Basi jiandae kuwa msukule wa mwanaume

Mwanaume akiwa mpole Sana kwa namna yyte ile lazima aendeshwe
Wanawake tunavyopenda kuendesha ,,,ukiwa Domo zege Sana mbona utaisoma namba[emoji2]

Kuweni wapole ila msizidi kiwango...hiyo ndio kila kitu mbna mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi naona uvivu kuandika hapa.

Nimesema sema "ndiyo" hata kama uliloliitikia ndiyo haliendi kutekelezeka.

Ni wanawake wangapi ukiwepo mnaishi na ahadi lukuki za wanaume waliowambia ndiyo mwisho hawajazitekeleza?
 
Akirudi nyumbani saa4 usiku ukimuuliza ametoka wapi akisema kusuka usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo..

Akichukua nguo zako na kumpa house boy bila ruhusa yako wewe,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo

Ukitoka kazini ukute hajapika yupo bize anaangalia tv wewe ukimuuliza kwanini hujapika akikujibu alikua bize anaangalia tv,wewe usirumbane naye sema ndiyoooooooooooooooooo

Akikwambia mume wangu nataka kwenda club nitarudi kesho asubuhi,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooooooooo

Akikwambia mume wangu sasahivi huniridhishi naona kama dushe yako imekua ndogo,usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo

Akikwambia mume wangu leo ni zamu yako kufua na kudeki usirumbane naye wewe sema ndiyooooooooo
Samahani mkuu.

Ila nadhani uelewa wako ni mdogo saana.
 
We are different yes, but inabidi kila mmoja ajue nafasi yake kwa muda tofauti.

Namaanisha kama Baba/Mama, Mume/Mke, Kaka/Dada.

Huwezi kusema eti mumeo awe mtu wa ndio ndio kisa umekasirika. That's bullshit. Let your man keep his position kama kichwa cha familia. Ishi na mumeo kiakili zaidi. Men can be very unpredictable especially the quiet ones. Walk away and calm your demons.

Mfano, anapoingia nyumbani ukaanza kufoka anaweza tu kukuitikia because the poor man is damn tired kugombania daladala etc, famished amekosa hata muda wa kula mchana. Anataka tu ale, alale apumzike akili. So hapo watasema yes to anything utakachosema.

But wait until his mind is free. Wait until amekaa na washkaji zake wanabadilishana mawazo afu washkaji wenyewe wawe maboya. Hutaamini atakavyo badilika siku si nyingi.

So Daby hapa asiwadanganye mkaona Ndio Ndio eti ndo mumewini na mwanamme keshakuwa boya. Be very careful. Retreat your footsteps and treat your man with respect.
Naendelea kujilaumu nilichelewa wapi! [emoji3][emoji3]

Kama kuna mwenye hataelewa hii basi tena.
 
Siku hizi naona uvivu kuandika hapa.

Nimesema sema "ndiyo" hata kama uliloliitikia ndiyo haliendi kutekelezeka.

Ni wanawake wangapi ukiwepo mnaishi na ahadi lukuki za wanaume waliowambia ndiyo mwisho hawajazitekeleza?
Usipotekeleza pia hatutakuacha bure
Yaani wanawake sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom