Wanawake tupo wa aina tofauti

Wanawake tupo wa aina tofauti

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,424
Kuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja atakumbuka ile nyama choma ya Sinza atakwenda kula kujipongeza. Huyu mara nyingi hawazi pesa ya mwanaume.

Kuna wale wapenda vitu vizuri.
Handbags zote za majina anazijua na yuko radhi anunue Michael Kors handbag iliyoletwa kazini leo kabla hata hajalipa kodi.
Hawa mara nyingi huwa nguo kabati tatu lakini hawajawahi kumiliki nyumba.
 
Sky Eclat inabidi uwe unawashauri hao wanaopenda kuvaa sana kuliko kujenga nyumba za kuishi, watawapa shida watoto wao

[emoji713]ⓐⓘⓢⓗⓐ ŋi ķųćĥaģuå

Mkorintho wa 6
 
Hahahhh hapana mate
Mie mpenda maendeleo pa kuuhifadhi mwili wangu jua mvua ukungu usiku mchana nina kibanda
Handbags kila siku design mpya
Ni kweli na ukipenda kununua utaviweka wapi hivyo unavyonunua?
 
Back
Top Bottom