Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii.

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,515
12,599
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina.
 
mwambie aende ustawi..me kuna wangu aliniletea habari hizo..nilikua nampa around laki nne kila mwezi +kulipa kodi ya nyumba..akajipeleka ustawi huko kwa akina makonda akidhani nitababaika.. matokeo yake ustawi wenyewe wamemdharau maana nilitakiwa niwe nampa laki moja tu kila mwezi.
hapo kuna wapuuzi wenzie watakua wanampampu aende ustawi wakati hata sheria hawazijui.
 
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina.
Mshauri akupeleke ustawi, ikibidi apeleke kesi mahakamani.

Utaokoa fedha nyingi sana, unaweza kuamriwa kuwa unampa laki 1 kwa mwezi.

Mwezi uliopita jamaa yangu ameachana na mkewe alikua anampa laki na nusu, mahakama imeamua awe anampa elfu 50.

Taratibu za sheria ni tofauti sana, wanawake hua wanadanganywa sana wakishakosana na waume zao wanadhani wakienda kwenye sheria watapewa mamilioni ya pesa.

Kuna wanawake wachache wajinga wanadhani ukizaa nae na mkaachana basi amepata mradi wa kujiingizia mapesa kupitia matumizi ya mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina.
Unampa laki nne yote ya kazi gani? Huna ndugu wa kusomesha?

Mwache aende, ustawi wa jamii watakuambia umpe elfu hamsini kwa mwezi.

NB hakikisha una meseji za mpesa/tigopesa ulizokua unatumia ela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki tatu ni hela ndefu kwa malezi ya mtoto....sana sana inatakiwa elfu hamsini kwa mwezi ila kwa kutumia busara inaweza kuzidi hiyo lakini sio kwa mujibu wa sheria......sheria ni 50,000/= tu...huyo msindikize huko ustawi wa jamii.
 
Tena nenda ustawi hata mahakamani when it comes kwenye matunzo ya mtoto mama pia wanaangalia uwezo wake ukoje... Unaweza shangaa hiyo pesa unapungua asikutishie nyau

Happiness is a choice
 
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina.
Mwambie akupeleke huko na atashangaa na matokeo yake
 
Ukweli wa hili ni asilimia chache sana,

Lakini kama ni kweli, ruhusu aende ukapate ufafanuzi

Huwa ni rahisi mno tena utafurahia, ikiwezekana mpigie simu mwambie mwende wote tena umshurutishe haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu
Kuna mwanamke nimezaa nae mtoto, huyu mwanamke ni muajiriwa mahali flani hapa mjini, mshahara wake ni kama 800,000/= Hivi.. So binafsi Huwa kila mwezi nampa kama laki tatu to laki nne kama pesa ya matumizi ya huyu mtoto. Ilitokea akagundua kuwa niko na mahusiano na binti mwingine, toka siku hiyo amekua mkali kwangu. Imefikia point anasema pesa ya matumizi nimpayo ni ndogo hivo anataka nimuongezee otherwise anataka kunipeleka ustawi wa jamii.
Naombeni mawazo yenu wakuu, kiukweli uwezo wa kumpa pesa zaidi ya hiyo ninayompa saivi sina.
Hauna matumizi na pesa au jamiiforum kila mtu anajidai tajiri. Hela ya mtoto mmoja Kwa mwezi huwa ni shilling laki moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom