Siku chache zilizopita
Nilitembelea maeneo flani hv katika Harakati zangu za kusaka tonge.
Kitu ambacho kilinifariji ni pale ambapo kwa Mara ya kwanza nilibahatika kumfahamu member mmoja Maarufu...
Mume wako anapokuambia kuwa acha kazi nitakuhudumia inawezekana ikawa ni kweli, inawezeka aakakuhudumia mpaka unaingia kaburini na wala asilalamike. Lakini kumbuka kuwa mume wako hawezi kumhudumia...
Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke...
Hii ni kauli mbiu ya azam tv sports katika kuipromote ligi yetu ya mpira wa miguu Tanzania.
Hii kauli mbiu kama vle inaakisi yaliyomo kwenye ligi yetu kutokana na ubovu wa ratiba n.k
Nafikili ni...
Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume...
Wadau leo ni kula kuku kwa sana na bia .
Msisahau kupima, ukishindwa Condom zipo. Msisahau kabisa baadae mnakuja wadau nawashwa busha zimevimba au nimejikuta nimeparamia mdada mzuri nikasahau...
Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu.
Maumbile Viungo vya uzazi...
Nasema hivi kwakuwa hawa viumbe wanaona mtu mwenye akili na maarifa ni yule anaeleta mtongozo kwa maneno ya uongo. Nilishawahi kufanya uchunguzi kwa wadada wawili kwa kuwatongoza na kuwaambia...
Baba ambaye alizaa mtoto nje ya ndoa,hatimaye akaamua kumchukua mtoto wake na kumuunganisha na familia yake,baada miaka kadhaa tena inatokea sintofahamu kati ya wazazi wenza mahusiano...
Wanajamvi mi suala la kutongozwa na wanawake kwangu limenifanya sasa nisijue kutongoza maana wamekuwa wanakuja tu, na baadhi hawasemi moja kwa moja wanatumia ishara tu, nagundua ila nawakwepa...
Nakumbuka ilikuwa mwaka flani hivi sio mbali sana na mwaka huu ni mwaka mmoja baada ya mwaka 2019 niliopoa chombo moja matata,
Chura ya kuuzia biriani mazaga mazaga kama yote zero nilivyoambiwa...
Huu mchezo kwa nini unazidi kupata umaarufu.....hii Dunia laaanakhum....
Huyu dada ni mke wa mtu anafanya kazi na mumewe sehemu moja. Ila analiwa biriani... Hili jambo lilinisikitisha sababu ni...
Picha linaanza.
Miezi mitatu sasa niko kwenye mahusiano na SINGLE MOTHER MMOJA HV, ana mtoto mmoja.
Wiki mbili zilizopita, kumbe alitembelewa na huyo bwana aliyezaa nae, yule bwana akafanya...
Wakuu sijui nakosea wap hawa wanawake kila nikimtongoza hanipi jibu la uhakika hivi nakosea wapi?
Cha Ajabu shule ya msingi nikiongoza, sekondari olevo and advance nikiongoza chuo pia nimenyakua...
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto
Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa.
Huduma...
Happy Easter all members jf yote
Kwenye haya mahusiano yetu
Kuna mambo ukiyaona unajua kabsa
Hapa umeshalimwa read cad inabak
Tu ww kujitoa uwanjan
Zang n hiz
1: msej kusomwa Na kutojibiwa...
Huu ni ukweli usiopingika kabisaaa japo wengi humu mtapingaa. Kwanini nasema hivi mwanaume ukipenda hata demu awe mbaya kias gani wewe utamwona mzuri na huna habr.
Muda wote unakuwa unamwaza...