hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
Mume wako anapokuambia kuwa acha kazi nitakuhudumia inawezekana ikawa ni kweli, inawezeka aakakuhudumia mpaka unaingia kaburini na wala asilalamike. Lakini kumbuka kuwa mume wako hawezi kumhudumia Baba yako, Mama yako, dada yako, Akaka yakoa ndugu yako yoyote bila kuchoka. Iko hivi ndugu zake atahudumia na wala hutamsikia akilalamika, atalalamika kuwa mdogo wake ana matumizi mabya lakini hatalalamika kuwa ni kitu kibaya yeye kumsaidia.
Lakini sas akumbuka na wewe una ndugu, utataka kuwasiadia, tena ukiona ndiyo anasaidia na kujali ndugu zake zaidi basi utataka na wako awajali. Hapo ndiyo inaanza kuwa shida, utasikia hao ndugu zako kila siku kuomba, hata wewe mwenyewe utaona shida kila siku kuomba, mdogo wako yuko kidato cha pili anakaa kwako pedi zimeisha ukamuombe mume wako kwakua zako alizokununulia si anazijua, sasa umuambie Hizi ni za shemeji yako!
Unashangaa, si umekubali kaucha kazi unafikiri atakupa pesa nyingi za matumizi mpaka zibaki nyingi hvyo! Mwanaume akishakuambia acha kazi anakua mbahili kama kitasa kilichoshika kutu, hakifunguki hata kwa grisiii…ukizidisha kufungua sana unakivunja au aunavunja ufunguo! Ndiyo hivyo mume wako kama huna kazi ukiombaomba sana ukawa unanuna unajikuta unavunja ndoa yako kwani anakuona kisirani, unapenda ndugu zako zaidi kumbe ni haki yako kwakua kakukataza kufanya kazi.
Nakuambiaje fanya kazi, ili vitu vidogo vidogo hasa vya ndugu zako usiwe na haja ya kuomba pesa, usaidie kimya kimya kwani kama wewe ambavyo unakasirika na kuona wivu akiwasiadia ndugu zake kila siku wakati wewe ndugu zako hawasaidii, basi hata yeye ataona shida kuwasaidia ndugu zako kila siku, kila ukiomba hata kama ni pesa ya ugonjwa basi atakasirika kwkaua anaona kama vile unamchuna! Narudia fanya kazi, tafuta biashar kama huamini subiri uone manyanyaso yake, yaani utanyanyaswa mpaka na paka wao!