jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 262
- 509
Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke wangu out, tatizo langu sijui ni wapi naweza mpeleka. Nachoshukuru Mungu na yeye pia sio mtu wa viwanja, so hua nikimuuliza anataka oit aende wapi hajawahi kuniambia, nae ananiambia hajui.
Nikiwaza niende nae bar au sehem za burudani sisi wote tumeokoka, so hua sijui nitaenda kufanya nn...
Nimewahi kuwaza nimpeleke sinema (hata mm sijawahi kwenda) akakataa kwa kigezo kuwa amechoka na tunaweza rudi usiku..
Leo nimemsikia akiniambia anataka siku moja tuje twende dar tukaangalie mpira wa simba na yanga.
Hadi hapa naandika tumekaa home tunacheki liverpool vs cardiff baada ya kumalizana na man U.
Nipeni ushauri nami niwe namtoa out siku moja moja.