Maoni yenu wanajamvi, jinsia gani hasa ndio inachangia kwa kiasi kikubwa hili tatizo?
Kwa sasa sio ajabu tena kusikia binti fulani kazaa mtoto/watoto akiwa bado hajaolewa na unaweza kukuta watoto...
I'll lay out the reasons and you decide for yourself which is better.
Being Married:
1. It's a partnership and a life time commitment.
2.Everything you want to do has to be discussed and agreed...
Heri ya msimu huu wa sikukuu.
Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke...
Kitendo cha Wao kupenda ' Kupunyetika ' mara kwa mara husababisha Mirija yao inayopatika katika Mibolo / Mikuyenge yao kupitisha zaidi Damu hali ambayo huifanya hiyo Mibolo kuwa ' active ' na...
Kuwa uyaone, hii Dunia imebeba mambo mengi yenye mtihani wa maisha kwetu binadamu.
Ni mwezi uliopita tarehe kama hizi za leo, mke wangu alibadilika ghafla na kuniambia maneno ambayo yalinichukiza...
Oya wakuu nafanyaje? Wiki iliyopita nilitongoza kasichana katoto kajirani yangu sasa leo kamekuja geto mwanaume nikasimamia kucha sasa baada ya show demu anashindwa kutembea!!!
Sasa mida hii...
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mume na mke ni mwili mmoja hivyo wanapaswa kushare kila jambo katika maisha yao,kwa mantiki hiyo je, ni halali na Sahihi mke wako wa ndoa kuifahamu namba ya siri ya...
Heri ya Pasaka Wakuu?
Katika kusheherekea sikukuu ya Pasaka nimeona tuongelee hawa watu wawili katika Familia yani SHANGAZI na MJOMBA.
JE KATI YA SHANGAZI AU MJOMBA NANI ANA UPENDO WA KWELI...
Habari za Pasaka, nimeitoa kwingine ila kama ishaletwa huku Moderator mnisaidie kuiunganisha ama kuifuta.
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa...
Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto...
Habari zenu waungwana naomba msaada wenu mimi ni kijana wa miaka 24 nahitaji kumuona binti lakini upande wa baba hawapatani na binti yao ambaye mimi nahitaji kumuoa binti ameacha chuo mwaka wa...
Demu wangu ana mashine pana!yaani nachukua muda mwingi kumaliza na pia naweza kuchoka bila kufika kileleni!nifanyeje wanajamii forum,2napendana sana tu!naombe ushauri,au kama kuna dawa ya kutumia!
Nielewe tu
Binti mmoja aliwaambia wazazi wake kuwa ana mchumba na anakuja kujitambulisha, wazazi waliitana na kuandaa kila kitu lakini yule mchumba hakutokea, alitafuta udhuru wa ajabu ajabua na...
Yeye kafiika mwisho wa reli ya mapenzi. Ananiona bonge la MTU! Kumbe nimepita mwingi, na nimefanya na kufanyiwa mengi ndiyo maana nimeamua kuweka silaha chini. Nimevaa ngozi ya kondoo baada ya...
Wakuu nimejaribu mara kadhaa kuwa na mahusiano na hawa wadada zetu wa vyuo. Mnapoanzana anajifanya matawi ila mkizoeana matatizo huanza; wanapiga mizinga ya ajabu.
Kama hauko timamu kichwani...
Nimekua ktk mahusiano kadhaa na mabinti wakilokole,tulipokua tunaanzana walinilazimisha kuokoka,nlifanya ivo ili kuongeza maombi,tatizo linakuja pale unapobaini mwenzi wako n mwongo na...
Mi niko zangu hapa Uzunguni muda huuu namendea mendea nitoke na vimada wawili nikapige three some,
Akiba niliyonayo ni 50K kila kimada anakula 25K mpaka Asubuhi.
Nimeshapiga wine yangu ya...
Mliopo kwenye ndoa
Naomba mlielewe
Wanandoa wengi sana wamekuwa wakijikuta katika wakati mgumu kwa sababu ya kitu hiki kidogo, SIMU!!! Hebu jiulize! “kwanini wewe unamiliki simu yako na ya mwenza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.