Natafuta marafiki sehemu yoyote Tanzania me naishi kagera wilaya ya biharamulo haijalishi we wakike au was kiume kwa mawasiliano tigo 0710535990
Airtel 0692536353 karbu
Wakuu huyu dada nilimfata but sikuhitaji uhusiano wa muda mrefu hata miez miwili. Ila sasa ni wiki tatu tu nishaanza kuwekwa status, na mambo kibao.
Kifupi sina malengo nae ata ya wenzi mmoja...
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
Kama mada inavyojieleza mi ndo kwaaanza kinda hapa jf ila katika pita pita zangu nikaona watu wanasema kuna jukwaa la wakubwa jukwaa linalohusu yale mamb yetu ya niniliii n.k je ndo hapa hapa au sio.
Natafuta rafiki tutakaeweza badilishana mawazo kuhusu maisha, have fun together and all other stuffs.
Age awe 25 na kuendelea.
Karibuni PM (kwa walio serious tu).
Tujikumbushe kidogo wakuu kabla ya kuja hizo smatphone zamani kidogo enzi za kanda za tape video za ngono mlikuwa mnaziitaje,
Huku kwetu tulikuwa tunaziita PILAU.
Na walikuwa wanaonyesha...
Salamu wana JF. Hii mada nimeikuta huko Kenya Taifaleo. Tuisome na kuijadili pamoja hapa Tanzania ina apply pia
TABIA zenu baadhi ya akina dada ambao aidha mmeolewa ama mnaishi na wenzenu, huwa...
Habari za jioni.
Nimesikia 'madogo' fulani kituo cha mwendokasi wakati wakisubiri basi nami nikisubiri, nkutokana na kuwa karibu nao kieneo niliweza sikia mazungumzo yao.
Walikuwa wakijisifu...
Kumekuwapo na matukio yanayobezwa au kukosolewa sana ya wanaume wazee kiumri (japo sio wazee kimwili), kuoa wake wa umri wa chini sana. Mathalani Mzee wa miaka 65 au zaidi anaoa mke wa miaka 25...
Je ni
1. Mama yake Mzazi?
2. Bibi yake ama Mzaa Mama au Baba?
3. Shangazi zake?
4. Mama wa Jirani?
5. Mwalimu wa Shule / Matron?
6. Rafiki yake tu?
7. Baba Mzazi?
Nawasilisha.
Katika pita pita zangu leo hii
Nikakutana na bint mmoja ambaye hapo awali tulikuwa tunakaa jirani lakini ameshahama huu mtaa. Bint yule sikuwa na mazoea naye wala sikuwa na mahusiano naye, ila...
Hamjambo waungwana,?naomba kuwasilisha maada.
Wakuu kuna jambo linanitatiza kidogo,Niko katika ndoa kwa miaka kumi sasa nikiwa na watoto wawili.
Kiufupi Mimi huwa napenda sana kujua afya ya...
Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.
Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.