Habari za mida hii.
Niende moja kwa moja kama hivi
" wiki 2 zimepita toka nilete uzi kuhusiana na binti nliyempenda na kumtupia nyavua akanasa nkampa mpunga na kumtoa out ili nimpagawishe na...
Mwaka 2006 nilibahatika kwenda mkoa wa Manyara na sehemu ya mkoa wa Arusha nikiwa na kazi moja ya kufanya tafiti za vinasaba miongoni mwa makabila ya wafugaji, nilifika mji wa Mbulu sehemu ya Mama...
Ngoja nianze Kushuhudia Ukuu Wa MUNGU Kwangu Hili ni Mojawapo wa Mambo Ambayo Mungu Amenitendea na Nimemuona kabisa Maishani.
Juzi Siku Ya Pasaka Tulitoka Na Rafiki Zangu Kwenda Band Kuburudika...
Kama wewe ni mjeda na una mtoto wako yupo kidato cha sita hapa dodoma ni mrefu kiasi, mweupe ana chura flani teke teke basi ujue amenishobokea sana Zero kwenye kibanda changu cha kiepe hapa na leo...
Kama mnavyojua tumeumbwa kwa roho tofauti,mim nimetokea kumpenda sana huyu dada aliehamua kufunguka kuhusu hali yake.
Nataka nimpe upendo wote na yeye ajihisi yupo duniani na anapendwa,nataka...
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30.
Kwa maelezo zaidi...
Naombeni msaada wakuu,
Nimekuwa na walaghai sana mabinti wa watu hadi kupagawa na kunitambulisha kwao wakidhani nitakuja kuwaoa lakini akili yangu haipo huko , nimekuwa nikiwaonea sana huruma...
Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza.
Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye.
Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi...
HaiAtakua haki kama kutakua na mfumo au namna inayolazimisha watu kuoana kama watu hao hawataweza kuishi pamoja kwa furaha. Suala la ndoa ni muunganiko unaohitaji ridhaa ya mwanaume na mwanamke...
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(1)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…..(18+)
******
Jasho lilizidi kumtoka Mzee Alex Mwandambo!hasira zilimpanda maradufu, mapigo yake ya moyo...
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua...
Mke Ni rafiki yako mnayekubaliana naye kuishi.akikuzaliwa watoto shukuru hao Sasa ndio ndugu zako kwa hio haifai kupata stress kwa sababu ya rafiki yako.
Kama akizingua system ika corrupt basi...
Jaman habari za siku nying? Nilikuwa naomba ushauri wadau,
Mm ni mtumishi wa Umma ambapo nilikuwa nnafanya kaz mjini hvyo nkapata mpenz ambae tumeishi nae tangu mwaka jana, kadri siku zilivyo...
Kuna demu kaningangania anajua Nina demu tena nishaweka mipango ya kuoa kila kitu kikienda sawa. Tatizo limebaki kwa demu mmoja tulizoeana nae sana nilitaka kumtokea, ghafla nafasi ikachukuliwa na...
HABARI KUU KWA WANAUME WENZANGU.
Ndugu zangu wanaume (vijana wa kiume), inasikitisha na inauma sana pale baadhi yetu tunapo nyanyua mdomo au mkono kuwatusi wanawake matusi yafuatayo:
1. #Uke wao...
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??
MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?
Kama...
Moyo wangu ni mpweke mno, kwa kipindi kirefu sina mchumba ingawa nina sifa zoooote za kufanya kuishi na mtu akapata mahitaji yote.
Namaanisha naweza kuwa na mtu nikamtunza kadri mwanamke...
Salaam,
Dada zangu, pamekua na thread nyingi sana kutoka kwenu, mkiuliza/kuhoji kuhusiana na sisi wanaume.
Mmekua na maswali meengi ambayo kwa muda mrefu mmekua mkitafuta majibu bila mafanikio...
Ni matumaini yangu mu wazima....
Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia.
Mume wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.