Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Jaman habari za siku nying? Nilikuwa naomba ushauri wadau,
Mm ni mtumishi wa Umma ambapo nilikuwa nnafanya kaz mjini hvyo nkapata mpenz ambae tumeishi nae tangu mwaka jana, kadri siku zilivyo zidi kwenda nilizidi kumpenda kulingana na mienendo yake hvyo kirohoni nikakapanga kumuoa japo sikumwambia ila baada ya miez kadhaa nilimwambia kuwa nahitaji nikuoe kiukwel alifurah sana coz tulkuwa tumesha zoeana na utan wa hapa na pale.
Ilkuw mwez wa 12 baada ya chrismas kuisha mwaka jana nikaenda kwao kujitambulisha ili baada ya mda nitoe posa kwao, tulikaa na kuyajenga na mama yake na kukubaliana kwan baba yake na mama yake walitengana hvyo huyo binti anaishi na mama yake, mjomba wake na bibi yake, baada ya mda nilihamishwa kikaz nakwenda kijijin hvyo nilienda na pia niliendelea na mikakati ya kuhitaji kumuoa huyo binti.
Baada ya mda kupita niliwashirikisha wazazi wangu kuwa nataka kuoa kiukwel walifurahi sana wakaniambia omba ruhusa kwa wazazi wake wamruhusu huyo binti aje kwanza tumuone alafu tupange mikakati ya kumtolea maali kwan huwez mtolea maali sisi hatumjui kwan wazaz wang wako mkoa mwingine.
Nilivyojaribu kuongea na mamamkwe kuhusu kumchukua huyo binti mama mkwe aligoma et siwez enda kumtambulisha mpaka utoe maali sasa ikawa ubishani kidogo coz yeye ni msukuma et ndio mila zinasema hvyo na mm nkamjibu mbona hata ss ni wasukuma kutambulishana kwa wazaz ni muhim sasa hapo ndo akagoma kabisaaa ili binti alkiwa anataka twende mama kagoma akajaribu kumbembeleza wapi, coz na yeye anahitaji kuolewa hapa tulipo binti anafikiria kutoroka tu anifuate na mm nmemkataza kwanza je' hyo ni sahihi
Nmejitahid kufupisha japo maelezo nimengi.