Sio kila siku kuwasimanga

Sio kila siku kuwasimanga

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,447
HABARI KUU KWA WANAUME WENZANGU.
Ndugu zangu wanaume (vijana wa kiume), inasikitisha na inauma sana pale baadhi yetu tunapo nyanyua mdomo au mkono kuwatusi wanawake matusi yafuatayo:

1. #Uke wao unanuka [emoji21], hili ni tusi kubwa sana... kiasi kwamba hata mama zetu wakiambiwa tusi hilo naamini watajiskia vibaya sana. Labda nikujuzeni tu, uke ni sehem ya nyama laini ambayo mda wote inakua mbichi (fresh body part) na zaidi imewekwa sehem ya maficho yenye joto sana, katika mazingira ya kawaida nyama mbichi isipowekwa kwenye friji na ikakutana na joto kali wenyewe mnajua kinachotokea. Ndio maana mwanamke muda mwingi anapaswa kusafisha sehem zake za siri na wengi hufanya hivyo. Mwanaume mwenye uelewa na jambo hili anapokutana na hali tofauti hawez kusema kua uke unanuka bali ataona ni kawaida ya sehem kama ile kua na hali io kulingana na eneo ilipo yenye joto kali muda wote. MWANAMKE HANUKI TAFADHALI, mwenye kauli hii ajirekebishe.

2. # WANAWAKE WANAVUJA, hili ni tusi la pili ambalo baadhi ya wanaume wanapenda kulitamka wakimaanisha mwanamke kuingia hedhi anakua anavuja. Mwanaume mwenzangu, kuwepo kwa hali hii ya hedhi kwa mwanamke ndio kumesababisha uwepo wangu mimi na wewe apo unaesoma ujumbe huu. Mzunguko wa hedhi kwa mwanamke ndio unaokomaza yai la mwanamke ili irutubishwe na mbegu ya mwanaume atokee mtoto. JIULIZE, je kama mama yako asingetokewa na hali hiyo unayoiita kuvuja leo wewe ungekuepo??? TAFADHALI ACHANA NA TUSI HILO kwani unajidhalilisha mpaka wewe mwenyewe ulietokana na jambo hilo hilo.

3. WANAWAKE WANA MITARO, hili ni tusi la tatu ambalo baadhi ya wanaume wanalitoa wakimaanisha wanawake wana uke mkubwa. Jaman, kama ilivyo kwa wanaume... kila binadam ana maumbile yake, wapo wenye uume mdogo lakini wanajua kuutumia na kumfurahisha mke au mpenzi wake... lakin pia wapo wenye uume wa size ya kati na mkubwa zaidi... vivyo hivyo ata katika midomo.. ipo midomo iliotanuka kama bakuli (tena kwa wanaume na wanawake pia) lakin yote ni maumbile.. Mwanamke kua na uke mkubwa haimaanishi ni matokeo ya kufanya sana tendo la ndoa isipokua ni maumbile tu... ( kwasababu mwanamke anaweza akawa anajiuza kwa siku analala na wanaume 10 na bado ukikutana nae anakua na uke wa kubana, hii ni kwasababu ya maumbile alopewa na mwenyezi Mungu). WANAUME TUACHENI MILA HIZO POTUFU KATIKA TUSI HILO.


Tumsifu Yesu kristu
Asalaam alykum
Bwana Yesu asifiwe
Mungu ni mwema

Copy & paste
Screenshot_20190420-220914.jpeg
 
Mi nmekapenda kapicha ka uyo mdada.blackbeauty nmempenda bure.ila naunga mkono hoja



Ova
 
Sio sahihi lakini imeshakuwa kawaida sahiv hata wao wanatukana hivyohivyo so ukitamka hivyo hata haoni cha ajabu
 
Hakuna kitu kinakera kama mwanamke mmoja katukanwa kwa upuuzi wake lakini anaamua kuwajumlisha mama zetu kama defence mechanism..
Wewe kama umezingua ukatukanwa tusi lolote pambana na aliyekutukana sio kuanza kulia lia eti hata mama zetu wako hivyo..

Mbona nyie mkiwatukana wanaume hawasemi bana zenu wako hivyo?
 
Hakuna kitu kinakera kama mwanamke mmoja katukanwa kwa upuuzi wake lakini anaamua kuwajumlisha mama zetu kama defence mechanism..
Wewe kama umezingua ukatukanwa tusi lolote pambana na aliyekutukana sio kuanza kulia lia eti hata mama zetu wako hivyo..

Mbona nyie mkiwatukana wanaume hawasemi bana zenu wako hivyo?
 
Kipaumbele changu kwenye hii siredi ni ka black beauty asee!mungu fundi, nyie mnaotukana hawa viumbe mungu anawaona aki.😋😋😋
 
Back
Top Bottom