Wapo baadhi ya watu ambao wanapojua kwamba wanapendwa, basi wanatumia upendo huo kama silaha ya kuwachapia wale wanaowapenda na hali hiyo imesababisha wengi kuishi kwa tahadhari, hata kama...
To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,
Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia...
Jamani naombeni ushauri if mmewahi kupia nanyi hichi kilichonikita mimi kwa mrembo huyu usiku wa kuamkia leo.
Kila tukiingia mzigoni Goal moja mtoto anazimia na after 20mins anazinduka anakunywa...
Ni mtu wangu wa karibu sana, ila kwenye agenda ya mahusiano huwa sitaki kabisa kuwa naye karibu maana hatuendani kabisa. Mwanaume ana mke na watoto. Kwa sasa, mke yupo mkoa mwingine na yeye mkoa...
Demiss nimekuelewa sana we mtoto. Nimekupa upendeleo maalumu. Nimekuchagua uje ulale na Mimi usiku wa Leo kwenye kitanda maalumu . Nipo Dodoma Leo. Nikukute Pm haraka sana.
Once again "...
Salaam kwenu wakuu!!
Mara nyingi sana imekuwa ikitokea kwamba wake zetu na ndugu zetu kuna uhasama,ubabe au migogoro midogo midogo inayotokea, huenda ikawa kati ya wazazi wetu hasa mama zetu na...
Habari jf
Nimekuwa natoka kimapenzi na binti mmoja mrembo sana kimuonekano hapa jijini kwa muda wa miezi mitatu
udhaifu wa mrembo huyo ni kuwa gogo kitandani, yaani hajui na hawezi kabisa...
Mtoto wa kike wewe, pichu unafua kwenye washing machine, huna haya? Zile safari zako za mwezi pia utarun washing machine kila siku? Pichu ifue kwa mikono, uanike sehemu itakayo pata jua na hewa...
Habari wapendwa wa JF?
Leo naomba tujadili hili suala maana hata mimi nimekuwa muhanga namba moja wa kufanyiwa vitendo kama hivi.
Baada ya kuachana na mpenzi wako unashangaa anaanza kutoa maneno...
Kumekuwepo na promotion nyingi sana kunadi dawa za nguvu za kiume;
Ukweli ni kwamba hili tatizo siyo kubwa kama jamii inavyokaririshwa; wanaume tupo fit kitandani kwa zaidi ya asilimia 95%...
mara zote mwanaume ana upendo wa dhati sana sema tu ikitokea kasalitiwa na mpenzi wake anaamua kulipiza kisasi na hii fikira kati ya 100% basi 99% ya wanaume huwaza kisasi yani ni kama mtawala...
Huyu jamaa aliamka asubuhi na kuanza kumwagilizia bustani lake badae mkewake wa ndoa anaye ishi naye akasikia sms inaingia kwenye simu ya mumewe iliyokuwepo sebuleni, mwanamke akaisoma, sms...
Wakuu binafsi style nyingi wakati wa kugegeda nmefanya, ila hii ya popo kanyea mbingu inawezekana nshafanya ila ni jina tu limenichanganya coz naona imekuwa maarufu hapa jamvin. Wanaoielewa naomba...
Salaam wana MMU, katika interview aliyofanyiwa Diamond kwenye media yake, amesema kuwa aliyekuwa mwenza wake aliukuwa anachepuka na watu kadhaa aliwataja. Hapa sasa ndio napata somo kuwa maswala...
Wakuu salama??
Bila poteza muda wacha niende kwa topic direct. Toka hii wiki ianze najikuta nataman madem wa nje, na plan zangu sitak chepuka saiv ila daah!! Huku nakoenda ntachepuka kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.