Mrejesho; Nishaurini kabla sijanunua mbuzi kwenye gunia

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Habari za mida hii.

Niende moja kwa moja kama hivi
" wiki 2 zimepita toka nilete uzi kuhusiana na binti nliyempenda na kumtupia nyavua akanasa nkampa mpunga na kumtoa out ili nimpagawishe na kuweza kumula kiuraini. Baadae akantumia message kuwa moyo wake umekataa kuwa na mimi.

Baadhi ya wanajanvi walinshauri nimpotezee kwani ipo siku atantafuta tena sababu alishaniona mimi ninapesa na kutoa kwangu sio tabu.

Baada ya kumpotezea sana jana kanitumia message kuwa ana shida anaomba kuonana na mimi tulipokutana mara ya kwanza( lorge). Sikupenda kumpigia kimya nilijaribu kumdadisi nini shida akasema ana shida na pesa kidogo maana kuna kitu alikopa na akategemea atapewa pesa na mama ake sasa hakumpa hivyo anaomba tukikutana nimsaidie hilo.

Kiasi ni 15 elfu. Nami kwakuwa nilijua leo napata mpunga nkamuahidi kesho tutakutana.
Leo kaniomba ata nimkopee kwa mtu ila nimegoma kwa kumwambia asubiri kesho.


Ila kinachoniwazisha ni kwamba huyu binti mrembo alafu bado mbichi saana mara ya kwanza nlimpeleka lorge nkajifanya sina ugwadu sikumfanya lolote ili aendelee kuingia 18 ila mwisho wa siku alinipiga chini bila hata kumgegeda.

Hapa nawaza na niwaombe ushauri wenye uzoefu je nikifika nimtoe mtonyo alouomba ndo nami nianze kuomba mchezo?

Au nimuombe kwanza ili akigoma nitembee na pesa angu nipate hasara ya kulipia lorge tu?
Je atakubali au atachululia kwamba namsaidia ili anilipe kwa kunipa mgegedo?

Hapa naumiza kichwa wadau nimesha aidi kuonana nae ila hapa nahisi naweza uziwa mbuzi kwenye gunia nkisha msaidia tu anatembea na nahisi hatontafuta tena.

Mwisho
Ushauri wenu tafadhali
 
Ingia nae lodge ndio atakupa mchezo ila ukimpeleka lorge lazima akunyime mchezo na hela yako ataila yote
 
Hivi hii ni Awamu ya Tano, Nasema hivi Magufuli anakazi sana ya kunyoosha wapuuz kama hawa alafu jitu kama hili linaenda kuwa mkurugenz mnategemea nini kwenye decision making ? Hilo hela mnunulie mdogo wako madaftari ya kusoma huyo mwanamke unawalelea wahuni(maporo) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom