I Testify Kweli Kabisa Imenitokea

I Testify Kweli Kabisa Imenitokea

Kajabila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
539
Reaction score
945
Ngoja nianze Kushuhudia Ukuu Wa MUNGU Kwangu Hili ni Mojawapo wa Mambo Ambayo Mungu Amenitendea na Nimemuona kabisa Maishani.
Juzi Siku Ya Pasaka Tulitoka Na Rafiki Zangu Kwenda Band Kuburudika kidogo Basi bhna Nikawa Nimepiga Kinywaji Pale Kikaanza Kunikolea Nikamuona Binti Moja Hivi Nikamwita Tukabadilishana Namba Kesho Yake Jumatatu tukaanza Kuwasiliama Binti akawa kasi kweli full Wivu Sijui nini na nini Mimi nikawa nachukulia Kawaida tu Jumatatu hiyo hiyo tukapanga kuonana tukawa tumeonana sehemu tukaa mpaka usiku usiku hivi. Baadaye Nikamuomba Game akakubali vizuri kabisa akanipromise leo Leo Asubuhi ya tukawasiliana akawa anajiandaa kuja na mimi nikawa najiandaa kwenda sehemu tulipo panga kuonana.
MUNGU akanikumbusha Kuhusu UKIMWI nikapitia sehemu kwa jamaa yangu ana hospital pale nikaenda kuchukua vile vidude vya kupimia Ngoma basi jamaa akanipa mimi huyo mdogo mdogo nikaanza kusogea eneo la tukio.
Nilipo fika binti naye akawa kafika tukachukua chumba tukaingia tukaanza kupiga story mbili tatu nikamkumbusha Kuhusu UKIMWI akashtuka kidogo nikamwambia ni vema tucheck afya akakataa akasema yeye anaogopa ajiamini basi mimi nikawa nimekaza kidogo baadaye.
Binti akanambia nimeona niwe mkweli mimi ni muathirika nilizaliwa nao na hapa nilipo nipo kwenye doze toka 93 nimeona nisije nikakuumiza akaanza kulia Sipendi nikuumize Ndugu zangu Ny***nge zote zikakata Hakika Nikamshukuru MUNGU Sana Baadaye akaanza kulia akasema najua utaniacha lakini mimi nilishakupenda niko tayari kukuzalia ata kwa kupandikiza hapa niko njia panda binti kaanza kuning'ang'ania mara sijui umeanza kuninyapaa vitu vingi vya lawama Ushauri hapa niko njia panda jinsi ya kumuacha.

Ndugu Zangu UKIMWI Upo Umakini Muhimu Sana.
 
MKUU MBONA KUNA THREAD HUMU WANASEMA KUWA HAKUNA UGONJWA UNAOITWA UKIMWI???
Wenzio wanachapa tu wanajiamini hakuna UKIMWI na wanaisha kizembe
Mkuu Haya Mambo balaa UKIMWI upo demu kanipigia hadi picha ya cheti dah dah
 
Ngoja nianze Kushuhudia Ukuu Wa MUNGU Kwangu Hili ni Mojawapo wa Mambo Ambayo Mungu Amenitendea na Nimemuona kabisa Maishani.
Juzi Siku Ya Pasaka Tulitoka Na Rafiki Zangu Kwenda Band Kuburudika kidogo Basi bhna Nikawa Nimepiga Kinywaji Pale Kikaanza Kunikolea Nikamuona Binti Moja Hivi Nikamwita Tukabadilishana Namba Kesho Yake Jumatatu tukaanza Kuwasiliama Binti akawa kasi kweli full Wivu Sijui nini na nini Mimi nikawa nachukulia Kawaida tu Jumatatu hiyo hiyo tukapanga kuonana tukawa tumeonana sehemu tukaa mpaka usiku usiku hivi. Baadaye Nikamuomba Game akakubali vizuri kabisa akanipromise leo Leo Asubuhi ya tukawasiliana akawa anajiandaa kuja na mimi nikawa najiandaa kwenda sehemu tulipo panga kuonana.
MUNGU akanikumbusha Kuhusu UKIMWI nikapitia sehemu kwa jamaa yangu ana hospital pale nikaenda kuchukua vile vidude vya kupimia Ngoma basi jamaa akanipa mimi huyo mdogo mdogo nikaanza kusogea eneo la tukio.
Nilipo fika binti naye akawa kafika tukachukua chumba tukaingia tukaanza kupiga story mbili tatu nikamkumbusha Kuhusu UKIMWI akashtuka kidogo nikamwambia ni vema tucheck afya akakataa akasema yeye anaogopa ajiamini basi mimi nikawa nimekaza kidogo baadaye.
Binti akanambia nimeona niwe mkweli mimi ni muathirika nilizaliwa nao na hapa nilipo nipo kwenye doze toka 93 nimeona nisije nikakuumiza akaanza kulia Sipendi nikuumize Ndugu zangu Ny***nge zote zikakata Hakika Nikamshukuru MUNGU Sana Baadaye akaanza kulia akasema najua utaniacha lakini mimi nilishakupenda niko tayari kukuzalia ata kwa kupandikiza hapa niko njia panda binti kaanza kuning'ang'ania mara sijui umeanza kuninyapaa vitu vingi vya lawama Ushauri hapa niko njia panda jinsi ya kumuacha.

Ndugu Zangu UKIMWI Upo Umakini Muhimu Sana.
Anyway kama ni kweli Toka 1993 anatumia dawa kwa usahihi. Basi Hawezi kukuambukiza
 
Mwaka 1993 sijui kama vidonge vilikuwepo

Nakumbuka mpaka miaka ya tisini ama elfu mbili mwanzoni waliokuwa wanamudu vidonge ni madon tu
 
Back
Top Bottom