Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

madam laden

Member
Apr 20, 2019
30
32
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia.

Mume wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazimisha ili mradi tu Mambo yaende,..

Cha kushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex.

Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo hapa naona kabisa ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nimeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish Fly Pro.

Naomba kwa anayejua wapi naweza ipata na bei yake au pia suluhisho mbadala.

Natanguliza shukrani.

Napatikana Dar
 
Imebidi nicheke.Nakumbuka rafiki yangu nayeye mke wake alikuwa anamfanyia hivyo kila siku mwanamke anajifanya yupo busy mala hajisikii siku nyingine anasema amechoka.

Nikamshauri akikunyima wewe piga Punyeto mbele yake na kama ataendelea kukufanyia hivo usimuulize chochote na wala usiombe sex kwake tafuta msichana wa kumaliza haja zake.
 
Back
Top Bottom