Mke ni rafiki yako sio ndugu yako

Mke ni rafiki yako sio ndugu yako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,885
Reaction score
60,918
Mke Ni rafiki yako mnayekubaliana naye kuishi.akikuzaliwa watoto shukuru hao Sasa ndio ndugu zako kwa hio haifai kupata stress kwa sababu ya rafiki yako.

Kama akizingua system ika corrupt basi fullstop. Ni msaidizi asikupande kichwani Kama ANATAKA kuendesha mwanaume aende kwa wanaume mbuzi wapo kibao.

Mwanaume unaweza uka mtreat mkeo vizuri ila akitaka kukupanda usikubali labda Kama huna malengo katika maisha.Kama una malengo ayafuate.Huu ndio msimamo utakaokufanya uwe na afya nzuri.
 
Hilo hata mke mwenye hekima na busara atakubaliana tu , vinginevyo ni mchuna mbuzi.
 
kumbe demu wangu wa sasa ni rafiki wa jamaa fulani wa ndani ndani hukooooooooo
 
Baba yako ndio alikuambia kuwa mama yako ni rafiki yake tuu..Alikuwa anakudanganya usije ukafanya wanayofanyaga ilibidi ujiongeze mkuu.

spoiler
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom