MOYO MPWEKE

MOYO MPWEKE

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Moyo wangu ni mpweke mno, kwa kipindi kirefu sina mchumba ingawa nina sifa zoooote za kufanya kuishi na mtu akapata mahitaji yote.

Namaanisha naweza kuwa na mtu nikamtunza kadri mwanamke anavyopaswa kutunza. Ninakipato kizuri na endelevu.

Mimi ni mwanaume nina 30yrs ivo kama kuna girls ana moyo mpweke naomba tuungane.
 
Ukiacha nyeto utajua namna ya kuwapata...
Cha muhim acha kujiselfie then utaona huo msukumo utakaopata automatically from inside utajikuta kila demu unamtaka na kama unastatus nzuri kiuchumi hutakua na kaz ngum kuwapata
Take this from me
 
Sawa kaka
 
Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje
 
Mtaani kwenu hakuna wanawake?
Je kama wewe ni domozege unashindwa kuwatuma wazee wa busara wakutafutie mchumba?
 
Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom