Leo demu kaja gheto , ila bahati mbaya yupo kwenye danger period
Sasa nikasema ngoja niende pharmacy kununua ndomu....yaani huwezi amini nimezunguka maduka kama matano duka la sita nikakuta zipo...
Inatakiwa kuwa makini sana kwenye kuchagua mke wa kuoa, kwenye mahusiano yako ya sasa kuna vitu vidogo ukiviona kwa mwanamke utagundua kama anafaa au hafai.
Wanaume wenzangu, ili kupata mke...
Wanabodi salama
Hivi inawezekana ukasex na mkeo kwa wiki mbili mfululizo na kummiminia maboa 2 kila siku ya nguvu tena siyo mke mpya hapana mke Wa miaka kadha na watoto more than 3
Na siyo vile...
Mkeo kakufuma namwamke mmbichi mmejaza nyama za kuku vinywaji vikali na mpo busy kissing deep kiss na yesterday familia yako imelala na matembele unadai huna hela .
Nahaikuwa sio kakupangia ni...
Hivi kuna sababu gani ya msingi inafanya hawa wadada wasipende mwanaume mwenye wivu wa kimapenzi,Kwa kweli mi ninao sana na ninaposikia mwanamke hapendi mwanaume mwenye wivu Najua tu anataka...
Ana mtoto mmoja tu wa kiume, alimsomesha Ulaya. Mtoto amerudi na mchumba wa kizungu baba amemwambia ni vizuri aoe mbongo.
Baba ametafuta mchumba kumbe ni ka mchepuko kake. Baada ya harusi mkwe...
Oya Niaje wana wa aliye juu.. leo ni Ile siku mwana wa Adam anaenda kusulibiwa(it's sad Japo ni story[emoji23][emoji23])..ila maisha lazima yaendelee..
Eti wadau Kwa mtazamo wa haraka ni ipi...
Dah nashindwa hata kuandika. Niko na majonz makubwa baada ya kutibuana na mchepuko ambaye nafanya nae sehem moja ya kaz.
Nilikua natamani nimuache coz alikua na vizinga vilivyopitiliza. Mfano...
inasikitisha kwa kweli
Napata mashaka na uwezo wa kufikiri kwa kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na graduate wa elimu ya juu hapa nchini kuishi kwa shemeji yake yaani mume wa dada yake...
Iko hivi nlikuwa na relationship na huyu binadamu, nikasafiri for like nusu mwaka nlivyorudi this is what i got, ila atleast she had guts to tell me the truth, #theHustleIsReal
UNGEKUWA WEWE...
Umenyimwa na wife muda sasa katika kunyimwa huko imepita miezi minne mitano anadai anamajukumu ya familia ukakuta hii mesage iliyoingia kwa simu yake kaacha kwenye chaji recently sio makusudi...
Nilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona...
Uwe mwenyeji au mgeni katika jiji la miamba a.k.a jiji lawiza lazima utasikia umaarufu wa kiwanja hiki kilichopo mitaa ya nyasaka... kuna katabia nimekaona si mara moja wala mara mbili naona...
Wapo baadhi ya watu ambao wanapojua kwamba wanapendwa, basi wanatumia upendo huo kama silaha ya kuwachapia wale wanaowapenda na hali hiyo imesababisha wengi kuishi kwa tahadhari, hata kama...
To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,
Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia...
Jamani naombeni ushauri if mmewahi kupia nanyi hichi kilichonikita mimi kwa mrembo huyu usiku wa kuamkia leo.
Kila tukiingia mzigoni Goal moja mtoto anazimia na after 20mins anazinduka anakunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.