kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Inatakiwa kuwa makini sana kwenye kuchagua mke wa kuoa, kwenye mahusiano yako ya sasa kuna vitu vidogo ukiviona kwa mwanamke utagundua kama anafaa au hafai.
Wanaume wenzangu, ili kupata mke atakaekuheshmu na kukutii inatakiwa angalau uwe umezidi kwa kila kitu, kwa mfano.;- elimu,uchumi na umri.
Unakuta mwanamke kakuzidi pesa,elimu, umri unadhani kutakua na heshima hapo?
Na tuangalie aina ya wanawake wa kuoa, unakuta mtu una mwanamke wako mzuri tuu, anafanya majukumu yake kama mwanamke lakini ni kiburi,m'bishi,yeye ndio anataka awe muamuzi wa mwisho! lakini kwakua mwanaume umempenda unamvumilia hvyohvyo na kua tayari hata kumuoa ukijipa matumaini labda ukimuoa atabadilika, lakin sio hvyo, mda mwingne kwenye mapenzi inatakiwa usiufuatishe moyo, unaacha akili iamue ni kipi sahihi.
Kama kwenye mahusiano yako hayana amani ukimuoa huyo mwanamke kwenye ndoa ndio inakua mara2, na mwanamke mzuri ni yule unamtoa kwao kwa wazazi wake na kigezo cha kwanza kuangalia ni tabia,mwanamke ni tabia nzuri,uaminifu,utiix abm