Nakereka sana na wanaotafuta wachumba mtandaoni

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,121
Reaction score
4,852
To be honest nachukizwa sana na hii tabia ya watu wanaotafuta wachumba mitandaoni yaani nakerwa mno,

Hasa jf nyuzi za kutafuta wachumba zimekua nyingi sana inafika stage adi nashindwa kuingia jukwaa langu pendwa (MMU) kwa sababu ya nyuzi kama hizi

Unakuta mwanaume kabisa unaanzisha thread ya kutafuta mchumba! are you mbumbumbu?

Afu unakuta mtafuta mchumba mwenyewe hayuko seriously ataweka vigezo vingi utafikiri anatoa ajira hivi

Tusichoshane kama unaona wakati wako wa kuoa/kuolewa umefika rudi kwa wazazi wako wakusaidie sio kuja kusumbua watu mtandaoni

Watu tuna mawazo ya jiwe tunakuja huku kutoa stress tunakutana na nyuzi za kutafuta wachumba

Mkome mxieew
 
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
 
Hahahaha,, kwa iyo wanaume wa jf wengi wao wameoa nilikuwa sijui ila nyinyi wanawake wengi single au single mom kama sijakosea
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
 
Point of no return!

Mimi sijaoa
sio jobless na
sijawahi kufika chuo sana sana nilipitia Madrasa.
 
Wengine matapeli, wengine tunataka tuwajue wanajf, wengine wanafurahia tu kuchitchat kwahiyo usipokuwa makini utaingizwa mjini.
Mbn hata mm nimeshawahi kutafuta wachumba huko nawajua wanajf kibaoo

Kuwa makini na nyuzi za wachumba zina siri kubwa.

Nyongeza: Asilimia kubwa ya wanajf wa kiume wameoa tofaut na wanawake.

Ambao hawajaoa wanaume wengi ni jobless wana stress za kutoka chuo ukiona nyuzi za mahusiano kimbia kama usain bolt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom