Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,754
Oya Niaje wana wa aliye juu.. leo ni Ile siku mwana wa Adam anaenda kusulibiwa(it's sad Japo ni story[emoji23][emoji23])..ila maisha lazima yaendelee..
Eti wadau Kwa mtazamo wa haraka ni ipi Bora.. Yani kuwa single au kuwa katika mahusiano??
Thread Over![emoji23]
Eti wadau Kwa mtazamo wa haraka ni ipi Bora.. Yani kuwa single au kuwa katika mahusiano??
Thread Over![emoji23]