Msaada. Nimejikuta nimezama kwa mchepuko

Msaada. Nimejikuta nimezama kwa mchepuko

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,711
Dah nashindwa hata kuandika. Niko na majonz makubwa baada ya kutibuana na mchepuko ambaye nafanya nae sehem moja ya kaz.

Nilikua natamani nimuache coz alikua na vizinga vilivyopitiliza. Mfano anaweza akakuambia naumwa naomba hela ya dawa na mchana akakuambia naomba hela ya nguo ya kuendea kwa party ya rafiki angu jioni akakuambia nimesahau nauli hom na niko kwa rfiki yangu ntumie hela nirud hom.

Lakin jana na leo tumetibuana lakin najikuta nimemmiss especially ninapomuona tunapishana kimya kimya. Na kuckia kawivu kwa mbali nikimuona anaongea na washikaj wengine hapa ofisini.

Naomben ushaur namna ya kufanya nimsahau uyu
 
Mchepuko wangu mimi apa![emoji4][emoji4][emoji4]
FB_IMG_1542891848206.jpeg
 
aibu naiona mimi, baking njia kuuliza comrade mchepuko sio dili
 
Kosa la kuwa na mahusiano na mtu maeneo ya kazi
 
Back
Top Bottom