Condom zimekuwa adimu

Condom zimekuwa adimu

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
11,539
Reaction score
14,283
Leo demu kaja gheto , ila bahati mbaya yupo kwenye danger period
Sasa nikasema ngoja niende pharmacy kununua ndomu....yaani huwezi amini nimezunguka maduka kama matano duka la sita nikakuta zipo za Rough rider bei ni 3000, kiukweli roho imeniuma kutoa hela yote hii maana nimezoea zile za 500.

Hili tatizo ni huku au na huko kuna uhaba kama huku?
Kazi tunayo kwakweli mwaka huu
 
Condom adimu sehemu zote mkuu nafikiri jiwe anataka kutuua kwa ngoma ila sio mbaya mwana mi ni mwendo wa kavu tu
 
Condom kuanzia buku2 siku hzi sasa sisi Tulozoea vitano hapo bajeti buku tano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom