WANAWAKE NA MAMBO YAO, Ungekuwa wewe Ungefanyaje ??

toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
5,838
10,261
Iko hivi nlikuwa na relationship na huyu binadamu, nikasafiri for like nusu mwaka nlivyorudi this is what i got, ila atleast she had guts to tell me the truth, #theHustleIsReal

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE, wahuni wanamrukia mwanamke alokuwa wako na kakwambia ukweli mchana kweupeee, cheki picha za screenshots za conversation chin. Some women got ballz...
IMG_0920.JPG
IMG_0921.JPG
IMG_0922.JPG
IMG_0923.JPG
IMG_0924.JPG
 
Iko hivi nlikuwa na relationship na huyu binadamu, nikasafiri for like nusu mwaka nlivyorudi this is what i got, ila atleast she had guts to tell me the truth, #theHustleIsReal

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE, wahuni wanamrukia mwanamke alokuwa wako na kakwambia ukweli mchana kweupeee, cheki picha za screenshots za conversation chin. Some women got ballz...View attachment 1081374View attachment 1081375View attachment 1081376View attachment 1081377View attachment 1081378

Peter okoye anasema 'Stupid'..
Muache asepe tu unles upo tayari kudate na Biryani hiyo
 
Peter okoye anasema 'Stupid'..
Muache asepe tu unles upo tayari kudate na Biryani hiyo

ahahaha ni clear kabisa hatuez endelea me nimeleta apa ili iwe mfano kwa watu wengine na trust me she was a decent woman sasa ameshasuck alot of lolipops hadi ananionea huruma, she is the one who told me me nlikuwa sijui kitu kama asingeniambia ningekuja kujulia mbelen labda wakati damage ishafanyika
 
Dooh..cha muhimu kushukuru tu kakuacha salama.
Nafsi inamsuta vbaya sana,Intrapsychic conflict inamtafuna
 
Dooh..cha muhimu kushukuru tu kakuacha salama.
Nafsi inamsuta vbaya sana,Intrapsychic conflict inamtafuna

thats very true...nimekausha ndugu na nimeleta hapa ili watu wengine wajifunze iwe kama somo, mana mtu mwingine unamwambia kuna moto pale haamini mpaka aone, matomaso wengi sana
 
ahahaha ni clear kabisa hatuez endelea me nimeleta apa ili iwe mfano kwa watu wengine na trust me she was a decent woman sasa ameshasuck alot of lolipops hadi ananionea huruma, she is the one who told me me nlikuwa sijui kitu kama asingeniambia ningekuja kujulia mbelen labda wakati damage ishafanyika

Mkuu ulikuwa una-date na Malaya anaejiuza barabarani? Maana kwenye screen shot anasema she makes money by having sex toughlendon_1
 
Ametoa wapi guts za kusema hivyo? Najaribu kutazama katika angle nyingine, huwa ni vigumu sana kwa mwanamke ku admit kuwa yeye ni malaya. Huyo amepata mtu mwingine na anachohitaji ni kutoka kwenye himaya yako by any reason na akaona reason hiyo itakufanya uachie ngazi kirahisi. Karma is a bitch, siku moja huyo girl atarudi with different story hadi utashangaa.
 
Anakujua kuwa huwa hupendi kushare na unawachukia watu wanaojiuza. Uliposepa alipata mwingine anayemfaa, angekuwa Malaya wa kujiuza ungezisikia tu, ila huyu ni muongo. Umewahi ona wapi mchawi anajisema? Hata wewe Leo hii ukimpata changudoa kanisani hawezi kukuambia biashara yake.

Huyu hakutaki tu na sio kweli kuwa alifanya / anafanya biashara hiyo
 
Bwana Bwana nlikuwa namhufumia vizur ndugu sasa sijui imekuwaje ? na nnachoshukuru ni kaniambia yeye mwenyewe kwamba nitulie maana saiv ye kasharukiwa na wahuni kibao, Nimemshukuru mungu kwa kuninusuru na hyo chain
Shida hawataki kufanya kazi, wao wanaona ku*ma zao ni duka. Ukitaka kumsaidia mwanamke atleast mpe ajira mpe hela tena na tena.ila kama ni hurka pia utagonga mwamba tu
 
Huyu amekuwa mkweli kwako, naamini anafanya kwa shida, ikiwa unampenda na unaweza kutoa huduma, huyu ni sahihi kuwa nae....
 
Back
Top Bottom