Umebambwa ukobusy unamkiss Demu utafanyaje?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Mkeo kakufuma namwamke mmbichi mmejaza nyama za kuku vinywaji vikali na mpo busy kissing deep kiss na yesterday familia yako imelala na matembele unadai huna hela .
Nahaikuwa sio kakupangia ni alikuwa ametoka clinic akaona apite hapo tu kupata soda kwenye sehemu mpya nzuri anakubamba.
UTAFANYAJE?
 
Nimeshindwa kuvaa upumbavu wa huyo jamaa hadi nashindwa kumtetea...
Ila ni kaz rahis endapo yy ndio amemuona wife kwanza kabla ya yy kuonekana vinginevyo awe mpole lawama zote amtupie shetan maisha yaendelee
 
haiwezi tokea😎😎😎
 
Haiwezi tokea kuja kumsaliti anaenipenda kwa "dhati"
 
Bahati mbaya sinaga huo upuuzi wa kukaaga na mchepuko kwenye open space! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Nimeshindwa kuvaa upumbavu wa huyo jamaa hadi nashindwa kumtetea...
Ila ni kaz rahis endapo yy ndio amemuona wife kwanza kabla ya yy kuonekana vinginevyo awe mpole lawama zote amtupie shetan maisha yaendelee
Duuuuh namuangalia make wangu alafu nazimia
 
Hiyo ni hatari sana,cha kwanza hata kama unachepuka hakikisha familia kwanza kwenye mahitaji
 
Mkeo kakufuma namwamke mmbichi mmejaza nyama za kuku vinywaji vikali na mpo busy kissing deep kiss na yesterday familia yako imelala na matembele unadai huna hela .
Nahaikuwa sio kakupangia ni alikuwa ametoka clinic akaona apite hapo tu kupata soda kwenye sehemu mpya nzuri anakubamba.
UTAFANYAJE?
Rose katika ubora wako!!!
Hongeraaa!!!
 
Back
Top Bottom