Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau humu. Nimeonelea umekuwa nusu mwaka na pia kuna baadhi ya watu wanaroho ya huruma. Kuna watoto wapo mitaani wanakosa vitu muhimu hii mnachukuliaje? Mf. Chakula Malazi Mavazi Elimu na Walezi...
1 Reactions
4 Replies
956 Views
ILI KUMTEKA MUMEO FANYA HAYA 1. Muite kwa jina lake la utani, jina lile analolipenda sana. 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani...
19 Reactions
75 Replies
13K Views
Habari wakuu.... Jamani mimi huku nyumba imewaka moto, Moja haikai mbili haisogei mama watoto hanielewi. Iko hivi This weekend nilitoka kwenda somewhere kwenye mizunguko yangu hapa mjini...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Habar zenu wana jf Wacha niende direct katika hizi situation mbili (2) ilitokea kwenye mahusiano yako itakuumiza sana?? Na hapo ulikuwa unampenda sana. 1. Mpenz wako kukusaliti/kukuacha 2.Mpenz...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za mda huu wana jf! Imekua ni kawaida kwa wanaume wa dar kuoa mikoani au wanawake Wa mikoani kuolewa dar! Lakini hli la wanawake Wa dar kuolewa mikoan sio sana tena teknologia inavyozidi...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Umoufia kwenu! Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
WOTE MTABAKI KUWA JUU JUUU MAWINGUNI (Liquid voice) Wakuu wenye mji wenu hapa downtown kwa Mkuu anayechapa kazi kuliko wakuu wote nchini na Afrika mashariki nzima. Leo natoka home sasa hivi...
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Salam kwenu! Kuna haka katabia baadhi ya wanawake/wadada wamekuwa nako wanapofika gest kugegedwa, mdada unamtokea mnaanzisha mahusiano, unaomba ukambandue mnakubaliana anakwambia tafuta room...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanawake nawasalimu bila kuwasahau Wanaume wenzangu! Vibinti vingi mjini na baadhi ya wamama ukikutana nao aidha sokoni, kwenye sherehe, chuo au mahali pengine unaweza ukahisi ni matawi ya juu...
17 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa kukaa kama Sanamu. MUME: darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu plz MKE: dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua? DADA: ndio nimepanga kabatini. (Mama anarudi chumbani na...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Tunaposema mwanaume ni kichwa kwa mwanamke hilo suala sio la utani ni suala ambalo liko wazi kabisa na lazima tulizingatie. Mwanaume hutakiwi kutawaliwa na mwanamke,hutakiwi kunyanyaswa na...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Mimi nipo salama kiasi, nashukuru Mungu nilikuwa naumwa lakini sasa hivi naelekea kuwa na Afya njema. Mdomo mchungu kiasi lakini sio mbaya sana kuliko hatua niliyo kuwa nimefikia ya Shemeji yenu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Waku habari ya kutwa? Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya...
1 Reactions
99 Replies
8K Views
Simkashifu mtu ni ujumbe tu, pia amepata kusema mdau wa masuala ya wanawake (Lu-Patie!). "Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye...
11 Reactions
46 Replies
6K Views
Mimi Mgeni Humu Napenda Kuuliza Hivi Wanao Tafuta Wachumba Humu Wanafanyikiwa Kweli? Au Niudanganyifu2?
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Sifa ya watanzania ni ubishi wa vitu ambavyo hata hawavijua. Sasa leo nakuletea jambo la msingi usibishe kabla ya kujaribu. Jambo lenyewe ni: Kama unauhitaji wa mtoto wa kiume tamka maneno haya...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Ninatafuta rafiki wa kike. Awe anaishi Kiteto. Kwa maelezo zaidi, niandikie Private Messege, PM! NB; Moderator samahani, nimeshindwa ku-access Love Connect Forum, ndiyo maana hii mada nimeiweka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salam. Straight to the chase. Usiku Wa kuamkia jumatatu, yani usiku Wa pasaka mwenzenu ujinga wangu ukanifika kwenye kidevu......nilikua nimelewa sana tena sana... Sasa nilipokua nanywea hizo...
16 Reactions
112 Replies
8K Views
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata...
37 Reactions
224 Replies
20K Views
Back
Top Bottom