Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninatafuta rafiki wa kike. Awe anaishi Kiteto. Kwa maelezo zaidi, niandikie Private Messege, PM! NB; Moderator samahani, nimeshindwa ku-access Love Connect Forum, ndiyo maana hii mada nimeiweka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salam. Straight to the chase. Usiku Wa kuamkia jumatatu, yani usiku Wa pasaka mwenzenu ujinga wangu ukanifika kwenye kidevu......nilikua nimelewa sana tena sana... Sasa nilipokua nanywea hizo...
16 Reactions
112 Replies
8K Views
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata...
37 Reactions
224 Replies
20K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Jamani watu wanaumwa na wanateseka sana hospitalini na majumbani. Tembelea wodi za wagonjwa ndio utajua nini namaanisha. Lakini mbali na mateso wayapatayo wagonjwa...
2 Reactions
5 Replies
844 Views
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................
1 Reactions
111 Replies
9K Views
Nawasalimu kwa heshima kwa kipindi kirefu nimejihusisha kimapenzi na wanawake tofauti tofauti wa kikurya (I really love them). Nilichojifunza which is common to most of them ni kuwa wanapenda...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
salam zot wakuu zwafkie wote ni hiv imepta zaid mwak m1 toka niache purioo. sasa katka migegedo yangu 8 tokea niache asee nimekuwa wa kulizisha Ks nazo gegeda, pasipo mm pia. Hi ina maana ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Umepewa mimba na mwanaume umemuambia kama una mimba yake labda kakubali au kakataa, sasa umejifungua na una mtoto, tena umemuandika na jina la baba yake kwenye cheti cha kuzaliwa, lakini umemfuata...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenyu wana Jf na mmu kwa ujumla. Rejea kichwa cha thread hapo juu,niende tu moja kwa moja kwenye mada. Events hizi zinaanza tar 01 mwez wa 3. Sasa kuna huyu bidada(last year student, born...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Ni kama wiki 2 sasa imeshakatika tangu nianzishe mahusiano na huyu single mother lakini vitendo anavyonifanyia walahi huyu mother ananiroga taratibu ili nimuoe, Kwa sababu Juzi kati hapa kaniita...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
MWANAUME Unatakiwa Uwe Na Ghetto Safi Hadi Siku Demu Wako Akija Kwako Kwa Mara Ya Kwanza Anauliza "Baby Niweke Wapi Sidiria (Bra) Yangu" [emoji23][emoji23][emoji23] Wanaume wengi mageto yetu...
4 Reactions
63 Replies
10K Views
Habar za asubuh wakuu? bila kupoteza muda niende kwenye maada, mm ni kijana kuna mtoto mzuri namuelewa Sanaa, nimeanza harakat za kumfukuzia tangu November mwaka Jana, jibu lilikuwa ni kwamba ana...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Siku hizi mtu akitaka kuoa kuna kuwa na event nyingi mara utasikia kutangaza uchumba, pete ya uchumba, kitchen part [wakati muolewaji ameishawah ishi na mwanaume mwingine kwenye sogea tuish miaka...
16 Reactions
113 Replies
11K Views
Mara nyingi nasikia wanaume wa Dar wakiwalalamikia wanawake wa Dar kwamba wanapenda starehe na matumizi mabaya ya pesa lakini sio wote. Sema samaki akioza mmoja ndo hapo panapoleta shida kwakweli...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Muongozo wa kumega kisela aka ku-skip dating na kwenda kwenye msuguano , kupeana joto mutual induction. Jaribu kutokua mtu wa kutoa hukumu au kuwa na mawazo ya kumjudge mwanamke au wanawake...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau naombeni ushauri. Mume wangu nampenda sana ila ni mpole kuongea kwake mpaka umuongeleshe umchangamshe nikiamua nami kuuchuna basi tunapiga kimya. Siku akiamua kuchangamka tu mwenyewe basi...
9 Reactions
123 Replies
12K Views
can not wait till i find you, searched entire globe for you, time is runnig out to hold to, literally can not get someone to hold on to, my patience is turning blue, i can relate to the things i...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu Nia na dhumuni la uzi huu ni kujuzana au kuhabarishana matukio ya kikatili wanayofanyiwa wajane,yatima na walemavu, tuhabarishe kisa au mkasa wa ajabu uliowahi kushuhudia watu...
3 Reactions
0 Replies
780 Views
Wakuu hivi kuna mtu ashawahi kuwa na upendo kwa kitu au mtu mpaka akahisi bila hicho kitu au huyo mtu furaha hamna kabisa!!! Nihiviii, kuna sikumoja hivii nilkua nnampenda mdada flani hivii...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sina mengi picha inaongea.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom